This is just the beginingWapuuzi kabisa tena watembezewe virungu!!
Huyu dada ana ujasiri kuliko makeyboard warrior
Hahaha nyie keyboard warriors mnaweza nini? Kelele za mtandaoni ni kubwa lkn waliondamana ni wawili tu tena wadada aiseee keyboard warriors mnachekesha Sana.This is just the begining
Bila kumtaja Mbowe genye hupati?Mtu kaenda nje ya nyumba ya mbowe, anapiga picha afu unasema kaandamana?
Nyie keyboard warriors mlivyo na roho mbaya huyo dada hata maji hamtampelekea!!Polisi wanakiuka haki ya msingi ya Raia.
Umefurahi vibaya sanaWashasombwa na karandinga, watapigwa leo.
hahahahahahaha! virungu vya ugokoWashasombwa na karandinga, watapigwa leo.
Ungetulia uone remand pakoje[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
Nilikuwa hiyo mitaa fasta nikaondoka
Nisije jumlishiwa bure wakati nilikuwa napita tu.
Niendelee na kubake keki zangu.