Waliondamana Dar es Salaam kupinga mkataba wa bandari wakamatwa na polisi. Mratibu wa maandamano na wenzake 10 wanahojiwa na Polisi

he mahabusu tena ina maana mulilo keshafanya yake kuonekana anawajibikaπŸ€·β€β™€οΈ

demokrasia demokrasia demokrasia demokrasia
Kitambo.....
Walikula kichapo na baadhi wakafinywa na kutupiwa kwenye yale magari ya polisi waliosema yanatoaga lifti kwa raia..🀣
 
 

Attachments

  • IMG_0804.MP4
    5.4 MB
  • 6051BBD6-ED8D-42B9-9F46-42BA9D5569DD.jpeg
    140.9 KB · Views: 1
  • 9E151784-CC0E-4B5C-BAE7-689D02D825FA.jpeg
    51.3 KB · Views: 1
Safi sana, acha waswekwe ndani, na iwe fundisho kwa wengine, yani mtu anaandama anaacha familia yake anakamatwa na kuswekwa ndani wakati aliewatuma kuandamana yupo zake nyumbani kwake na familia yake anakula bata, hii akili ya wapi!!! Kosa mwarabu kupewa bandari πŸ˜…
 
Tukishirikiana vizuri hao polisi hawataweza kutufanya chochote.mimi kwenye maandamano alitaka kunikamata polisi nikamzaba kibao hadi aliona nyota na kuniacha.
Acha we!!!
🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…