Fundi Mchundo
Platinum Member
- Nov 9, 2007
- 10,448
- 8,705
Haendi mtu msituni. Wataendelea hivyo hivyo na mabango yao.Waambie waende msituni.
Ngawethu…
Amandla...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haendi mtu msituni. Wataendelea hivyo hivyo na mabango yao.Waambie waende msituni.
Ngawethu…
Huyo Ben Saanane na bandari wapi na wapi?Vijana waandamana jijini Dar es Salaam Tanzania kupinga mkataba wa bandari kati ya serikali na Dubai Ports World pamoja na muswada wa marekebisho ya sheria ya Usalama wa Taifa.
Vijana walioandamana jijini Dar es Salaam kupinga mkataba wa Bandari wamekamatwa eneo la Mnazi Moja.
========
WALIOANDAMANA WAISHIA MIKONONI MWA POLISI
Taarifa za awali zinaeleza kuwa vijana waliokuwa wameandamana kupinga Mkataba wa Bandari eneo la Mnazi Mmoja kuelekea Ikulu ya Magogoni Dar es salaam wamekamatwa na Jeshi la PolisiTaarifa zaidi zitawajia endelea kutufatilia
View attachment 2662138
Upuuzi mtupu.Haendi mtu msituni. Wataendelea hivyo hivyo na mabango yao.
Amandla...
Haendi mtu msituni. Wataendelea hivyo hivyo na mabango yao.
Amandla...
Ikulu?Ujumbe kusudiwa umefika!
Lina matako makubwa sijui mazoezi linafanyajeHilo li askari limenenepeana kwa kula vya bure na vinono kutoka kwenye mali za Tanganyika yetu
Ila Dada afande kajaaliwa, mi video mzima namuangalia Kwa nyuma🤣Hilo li askari limenenepeana kwa kula vya bure na vinono kutoka kwenye mali za Tanganyika yetu
Ujumbe umefikaVijana waandamana jijini Dar es Salaam Tanzania kupinga mkataba wa bandari kati ya serikali na Dubai Ports World pamoja na muswada wa marekebisho ya sheria ya Usalama wa Taifa.
Vijana walioandamana jijini Dar es Salaam kupinga mkataba wa Bandari wamekamatwa eneo la Mnazi Moja.
========
WALIOANDAMANA WAISHIA MIKONONI MWA POLISI
Taarifa za awali zinaeleza kuwa vijana waliokuwa wameandamana kupinga Mkataba wa Bandari eneo la Mnazi Mmoja kuelekea Ikulu ya Magogoni Dar es salaam wamekamatwa na Jeshi la PolisiTaarifa zaidi zitawajia endelea kutufatilia.
Wewe unaandamana Kwa Ajili ya nini hasa? 😂😂Ndo maana wanakufa maskini, nchi imejaa wapumbavu sana hii, maanadamo ya amani halafu wanazuia ili iweje?
Huna hojaSawa [emoji304]
🤭Vijana waandamana jijini Dar es Salaam Tanzania kupinga mkataba wa bandari kati ya serikali na Dubai Ports World pamoja na muswada wa marekebisho ya sheria ya Usalama wa Taifa.
Vijana walioandamana jijini Dar es Salaam kupinga mkataba wa Bandari wamekamatwa eneo la Mnazi Moja.
========
WALIOANDAMANA WAISHIA MIKONONI MWA POLISI
Taarifa za awali zinaeleza kuwa vijana waliokuwa wameandamana kupinga Mkataba wa Bandari eneo la Mnazi Mmoja kuelekea Ikulu ya Magogoni Dar es salaam wamekamatwa na Jeshi la PolisiTaarifa zaidi zitawajia endelea kutufatilia.
Watanzania wameamkaKweli?!