HIMARS
JF-Expert Member
- Jan 23, 2012
- 70,791
- 98,334
Ngoja wakapigwe kwanza
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ngoja wakapigwe kwanza
Ningekuita uje unitoe[emoji1787]Ungetulia uone remand pakoje
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Wako sentro haya nenda sasa🙂
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Aisee...
Si mlisema mama yenu ni mwanadimocrasia?
Hapo central mi napaogopa hata kusogea sitaki maana father house anafanya kazi hapoNingekuita uje unitoe[emoji1787]
Wanashirikiana kwenye keyboardShirikianeni sasa; mnangoja nini?
Kumbe nisingekaa muda mrefu eeeh?[emoji847]Hapo central mi napaogopa hata kusogea sitaki maana father house anafanya kazi hapo
Nenda kaandamaneWenye hoja ni nyie [emoji304]
Mkuu na wee ulitakiwa uwe frontline [emoji1]Mungu awabariki walioandamana.
Wamedhihirisha kwa vitendo Uzalendo kwa nchi yao.
Tanzania sio nchi ya kuamini watu, Watanzania ni waoga sana,Watu nyuma ya keyboard wana mkwala mkuu [emoji1]
Ova
yangeruhusiwa ndio wangekufa matajiri ?Ndo maana wanakufa maskini, nchi imejaa wapumbavu sana hii, maanadamo ya amani halafu wanazuia ili iweje?
Tanganyika hata usipolipa mahari utaambiwa mchukue tuNenda kaandamane