HIMARS
JF-Expert Member
- Jan 23, 2012
- 70,791
- 98,334
Kwamba hatuna kazi za kufanya?Mngempa suport huyo mdada mkuu!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwamba hatuna kazi za kufanya?Mngempa suport huyo mdada mkuu!
Nimecheka jamani🤣🤣🤣🤣 Waandamanaji hata vifungo vya shati havijakatika🤣🤣 famchezohii nchi kila jambo ni mchongo mchongo tu,toka lini waandamanaji wakapanda defender wenyewe bila mitama ya polisi?
Siku Profesa Lipumba akiitisha maandamano, ndo kidooogo naweza hata kuchungulia dirishani, Yule anakaaga frontline Hadi kuna clip moja polisi anamwambia we Profesa mzima unaungana na hawa watu wasiosoma🤣🤣🤣Hiyo ni kamba ndefu sana umeandika. JF ina members mamilioni. Sema wakati wa issues muhimu kama maandamano, huwa kila mmoja yuko very committed hawezi kupata muda wa kutokea.
Taarifa za kijinga kutufanya tuendelee kuwa watumwaVijana waandamana jijini Dar es Salaam Tanzania kupinga mkataba wa bandari kati ya serikali na Dubai Ports World pamoja na muswada wa marekebisho ya sheria ya Usalama wa Taifa.
Vijana walioandamana jijini Dar es Salaam kupinga mkataba wa Bandari wamekamatwa eneo la Mnazi Moja.
========
WALIOANDAMANA WAISHIA MIKONONI MWA POLISI
Taarifa za awali zinaeleza kuwa vijana waliokuwa wameandamana kupinga Mkataba wa Bandari eneo la Mnazi Mmoja kuelekea Ikulu ya Magogoni Dar es salaam wamekamatwa na Jeshi la PolisiTaarifa zaidi zitawajia endelea kutufatilia.
MRATIBU WA MAANDAMANO AINGIA MITINI
Jeshi la Polisi limewakamata baadhi ya vijana waliojitokeza kuandamana kupinga mkataba wa ushirikiano wa uendeshaji wa bandari kati ya Kampuni ya DP World na Tanzania.
Hata hivyo, a mratibu wa maandamano hayo, Deus Sokkatika hali ya kutofahamika, hajatokea kwenye maandamano hayo yaliyopangwa kuanzia Temeke na kuishia Ikulu, jijini Dar es Salaam.
Mwananchi Digital ilipomtafuta kwa simu zake zote za kiganjani, hakupatikana na katika majina ya waliokamatwa na polisi pia jina lake halikuwepo.
Juni 15 mwaka huu Deus Soka ambaye aligombea udiwani katika Uchaguzi Mkuu wa 2020, alitangaza kuitisha maandamano kupinga mkataba wa ushirikiano wa uendeshaji wa bandari kati ya Kampuni ya DP World na Tanzania.
Hata hivyo Juni 17 Jeshi la Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam likipiga marufuku maandamano hayo na kueleza kuwa, mtu aliyeandaa maaandamano hayo ameshajibiwa kwa barua akielezwa ni marufuku kufanyika maandamano yoyote.
Juni 10, Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania lilipitisha azimio kuhusu pendekezo la kuridhiwa kwa mkataba baina ya Serikali ya Tanzania na Serikali ya Dubai kwa lengo la kuanzisha ushirikiano katika uendelezaji wa maeneo ya bandari nchini.
Pendekezo hilo liliwasilishwa bungeni Juni 10, na kupitishwa na Bunge baada ya wabunge kupata fursa ya kuchangia na kuishauri Serikali kuhusu mkataba huo.
Mwananchi
Waliodakwa lazima wajiulize mara 2, 2Daah mratibu maandamano yeye kaingia mitini inabidi vijana mjifunze kufuata mkumbo siyo kitu kizuri.
Mwambie Mbowe aende Dubai akaangalie biashara zake🙂We Mwarabu wewee, Bandari hamuichukui
Tena katika watu waoga kupitiliza ni huyo.Erythrocyte si alisema atatinga maandamanoni, sasa mbona amejificha huku mtandaoni anapayuka payuka hovyo?
Huyo askari Alie mkamata dada ana matako makubwa.....Big Booty 😊😊😊🤓🤓🤓Vijana waandamana jijini Dar es Salaam Tanzania kupinga mkataba wa bandari kati ya serikali na Dubai Ports World pamoja na muswada wa marekebisho ya sheria ya Usalama wa Taifa.
Mwananchi
Ndio! Sasa kama watu wanaleta vurugu barabarani tuwasaidieje? Ni kuwapeleka mahabusu unawasindikiza na teke moja la matako hawatarudia tena.🤣🤣🤣he mahabusu tena ina maana mulilo keshafanya yake kuonekana anawajibika🤷♀️
[emoji23][emoji23][emoji23]Si mwanademocrasia wenu huyo?Samia pia ana shida
sio sawa demokrasis hiyo mlosema mmefanya maridhiano iko wapi?Ndio! Sasa kama watu wanaleta vurugu barabarani tuwasaidieje? Ni kuwapeleka mahabusu unawasindikiza na teke moja la matako hawatarudia tena.🤣🤣🤣
Wewe ulikua frontline?Watanzania hatuna ushirikiano kabisa mmejaa uoga na uzandiki.