Walionyang'anywa mali na Hayati Magufuli waomba kurudishwa mali zao

Kwa hiyo Mali za watu zilikuwa za magufuli ?, Na alikuwa akiwadai chake ?, Kuwa hata na aibu , usukuma ulihodhi Kila kilichopo Tanzania ni Cha wasukuma !, Laa hawlaaa!.
 
Hakuna anayeshindana na mwendakuzimu wa Chato acha ujambazi wake ujulikane mjaa laana yule
 
Huo ndio ukweli hivi uwe na pesa halali halafu unyang'anywe kweli hakika hakuna watu wajinga nchi hii kama vijana wa chadema mtandaoni
Acha upumbavu mbwa wewe kama mtu kaiba anashtakiwa mahakama I sio kumnyang'anya hela na kuzificha china wajaa laana nyie
 
Acheni upumbavu wenu nyie sukuma gang yaani mtu anafanya kazi halali anapata pesa nyie mnasema kaiba hamumshtaki mnamteka (Mo Dewji) kishamba mnampora mnaficha pesa China mnaumbuka sasa
 
Huo ndio ukweli hivi uwe na pesa halali halafu unyang'anywe kweli hakika hakuna watu wajinga nchi hii kama vijana wa chadema mtandaoni
Sio chadema mkuu, hao CCM wanapambana kuwarudishia majizi mali zao
 
Nawatafuta walinda legacy kweny huu uzi siwaoni, waambien waje. Haiwezekan legacy ichezewe kiasi hiki!!
 
Rekebisha heading ni marehemu Magufuli, hayati ni neno linalotumika Kwa watu waliokufa wakiwa wema.

Huwezi kutumia hayati Kwa Idd Amin, Hitler au Bokasa.

Mods fanyeni editing kwenye heading tusije kupotosha vizazi vijavyo, haya maandishi yatadumu sisi ndio tutaondoka, tuweke kumbukumbu sahihi kwamba Tanzania iliwahi kutawaliwa Kwa mkono wa chuma na dikteta uchwara Magufuli.

Hata Idd Amin alijipambanuwa kama mtetezi wa wanyonge ikiwemo kupora maduka ya wahindi na kuyagawa Kwa RAIA.

Ogopa sana ukisikia mtu anakwambia yeye ni Rais wa wanyonge, hujuwe hapo mmeliwa, analitumia kundi la wajinga wengi hawa wanyonge kutimiza ajenda zake.

Mimi ukitaka tugombane tu basi niite maskini au mnyonge, sikubali hata kidogo jina hilo.
 
Hii ndio maana majizi na vyeti feki yanachekekea yameachwa yapumue. Watu waliokuwa wanafanya biashara bila janja janja hawajawahi kusumbuliwa na Magu.
 
Sasa we fikiria miaka yote TRA wakija kukagua wanakukuta upo clean. Inakuwaje kipindi cha Magufuli TRA hao hao waje wakupore fedha? Mtu umekamilika unafanya biashara kwa uaminifu huwezi kuta serikali inahangaika na wewe hata hao maafisa rushwa hawaipati kwako watakuwa wanafuata nini kila wakati hapo biasharani.

Ila unakuta mtu alikuwa anahonga maafisa TRA awamu ya 4 anakwepa kodi imefikia mda utawala umebadilika unafikiria nani atakubali apoteze kazi yake kwa sababu ya kukulinda wewe unayekwepa kodi au hufuati taratibu? Lazma muone watu wabaya. Sikuzote ukiwa humdai mtu mtakuwa marafiki ila siku umeanza kumdai tu ndio balaa linaanza
 
Umenena sawa. Hadi sasa mama ana piga vijembe hapa na pale kila ikitokea fursa kutest kina cha maji kama anaweza kujitokeza wazi kutetea mafisadi kwa kisingizio haikua haki. W-2 w22 Wenyewe washarukia kuona ni mtu wao. Lakini nawaonya fisadi wasiwe na hakika. CCM ni chama cha kutetea maslahi ya umma. Mama bila shaka yatamshinda na kwa uhakika 2025 anatupiwa virago.
 
Watu wanajua kulitumikia huba aisee!Hata uwaambie kwa maelezo yenye ukweli kiasi gani,watakataa hata kwa viapo.Wanaamini alikuwa the smartest,the bravest and above all,the most high!πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Sasa kwani wanakosea nini. Ni umma wa wananchi huwaambii kitu kwa jpm. Wewe uliyenyolewa kichwa kwa chupa kwa dhuluma zako ndio unaona tofauti.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…