Waliooa wamasai tupeane changamoto na ubora wao

Hawana tofauti na wachagga.....baadhi yao wamekeketwa, hawajuwi kupika, hawajuwi kukata viuno kitandani, na wako very boring in bed. Wao wanawaza kukamua maziwa ng'ombe tu na kufanya kazi za nyumbani ndogo ndogo.
Umewasingizia Mke wangu ni Mmasai,

Kitandani yupo vizuri tu
Ana akili nzuri na watoto wetu wako very bright
Ni msafi sijawai ona wanayosema uchafu wao

Hajakeketwa nikimgusa kunako anakunakokika vema tu

She Is so Beautiful
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]mamaee
 
Umewasingizia Mke wangu ni Mmasai,

Kitandani yupo vizuri tu
Ana akili nzuri na watoto wetu wako very bright
Ni msafi sijawai ona wanayosema uchafu wao

Hajakeketwa nikimgusa kunako anakunakokika vema tu

She Is so Beautiful
Town Maasai...
 
Comments! comments! Wana JF mmeshindikana [emoji23][emoji23][emoji23]

Shambani kwangu kuna wamasai wengi nadhani ni wahamiaji (mpakani morogoro na iringa) sometimes tukiwa vizuri mfukoni tunachukuaga mashine moja ya mshikaji tunajaza mafuta tunaenda huko na washikaji kibao, basi utaona wanavowamezea mate mabinti wa kimasai wanaopita kwenda kuchota maji au kufua mtoni, au wakija kufanya vibarua.

Imefika muda wala mimi siwaombi wanipe kampani kwenda shamba wenyewe wananitafuta kwamba hatuendi shamba? Pamoja na kuwa huwa panakuwa very interesting kwa kuchoma nyama na vilaji nimegundua kinachowavuta pia ni watoto wazuri wa kimasai kule! Maana kuna muda unaez shangaa kambini watu wametoweka hujui wameenda wapi. Wanaume nimewanyooshea mikono [emoji1316]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Umewasingizia Mke wangu ni Mmasai,

Kitandani yupo vizuri tu
Ana akili nzuri na watoto wetu wako very bright
Ni msafi sijawai ona wanayosema uchafu wao

Hajakeketwa nikimgusa kunako anakunakokika vema tu

She Is so Beautiful
Hongera....hivi angekuwa amekeketwa ...ungesema!
 
muda wote wanavaa mapazia kama mahujaji wa makka hivyo basi unapaswa uwe mvumilivu
Ach uongoo wewe acha uongo kabisa unaposema uongo masa yote asilimia kubwa utakuja kukulete shida kubwa
 
Wanafuata sheria za asili za Mungu mf. Mapenzi wanajua tu kifo cha mende. Ukimletea mambo yako ya kizungu hawana habari
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…