Peter nilijua tu hawezi shindana na jesca msambatavanguHawa wamepenya kamati za wilaya
1. Nape Nnauye jimbo la Mtama
2. Peter Serukamba kule Kigoma Vijijini
3. Baba Levo kule Kigoma Mjini
4. Baruhani Muhuza Kigoma Majini
5. Paul Makonda Arusha Mjini
6. Ole Sabaya kapenya kule Arumeru Magharibi
7. Joshua Nasari Jimbo la Arumeru Mashariki
8. Aggrey Mwanri kule Siha
9. Eng Hersi Said jimbo la Kigamboni
Mpaka sasa majina yaliyokatwa na kamati za wilaya
1. Mrisho Gambo Jimbo la Arusha Mjini
2. Paulina Gekul kule Bahati Mjini
3. January Makamba jimbo la Bumbuli
4. Jerry Muro Jimbo la Hai
5. Peter Msigwa Jimbo la Iringa Mjini
6. Luhanga Mpina kule Kisesa
7. Mwita Waitara pale Tarime Vijijini
8. Mwijaku Jimbo la Mvomero
9. Furaha Dominic kule Kawe
10. Ole Sendeka kule Simanjiro
Tunafuatilia na majimbo mengine
Vp jamani hiki chuma kibajaji habari zake zipoje,kapenyaHawa wamepenya kamati za wilaya
1. Nape Nnauye jimbo la Mtama
2. Peter Serukamba kule Kigoma Vijijini
3. Baba Levo kule Kigoma Mjini
4. Baruhani Muhuza Kigoma Majini
5. Paul Makonda Arusha Mjini
6. Ole Sabaya kapenya kule Arumeru Magharibi
7. Joshua Nasari Jimbo la Arumeru Mashariki
8. Aggrey Mwanri kule Siha
9. Eng Hersi Said jimbo la Kigamboni
Mpaka sasa majina yaliyokatwa na kamati za wilaya
1. Mrisho Gambo Jimbo la Arusha Mjini
2. Paulina Gekul kule Bahati Mjini
3. January Makamba jimbo la Bumbuli
4. Jerry Muro Jimbo la Hai
5. Peter Msigwa Jimbo la Iringa Mjini
6. Luhanga Mpina kule Kisesa
7. Mwita Waitara pale Tarime Vijijini
8. Mwijaku Jimbo la Mvomero
9. Furaha Dominic kule Kawe
10. Ole Sendeka kule Simanjiro
Tunafuatilia na majimbo mengine
Hyo lazima apite kwani alikuwa anamsema bi mkubwaVp jamani hiki chuma kibajaji habari zake zipoje,kapenya
Huyu ni mbunge haswa,nilimkubali alipozima jaribio la baadhi ya wabunge wachumia tumbo kushukuru kifo Cha mwendazake kama njia ya kujipendekeza,akawaambia waache unafiki Ina maana aliyepo naye akipita akija mwingine watamnanga tena aliyerithiwa,kwanza hapo nikaona mtera Kuna chuma,kingine ni hiki kilichomshukuru mh Rais kwa kukirihusu kutia sign kwenye pesa- nalo ni jiweHyo lazima apite kwani alikuwa anamsema bi mkubwa
Ova
Ndiyo maana ata awamtaki Mama Samia maana alimtembelea Lissu akiwa Kenya na Ubelgiji pia akalipwa stahiki zake zote alizokua amenyimwa na JPM.Ole sendeka kauli yake dhidi ya Lisu imemponza,CCM hawataki watu wenye roho ya kweli na huruma Kwa wapinzani
Siha kumekucha Kuna shule quality Sana ya A'level huko kijijini. Mwanri akiwa Naibu Waziri TAMISEMI alipeleka walimu wa maana na kujenga majengo ya maanaAnayembeza Agrey mwandry hajui lolote, huyu jamaa alipagania wilaya ya Hai kugawanywa ziwe mbili, ndo ikazaliwa wilaya ya Siha
Sanya juu kwa sasa kuna maendeleo kiasi chake, hadi vijijini huko kishisha
Pole HomeraKule Namtumbo Homera wamekula kichwa, na Vita KAWAWA wote wametupwa nje ya ulingo
Trainee (Doto)Makonda for new Prime minister of URT (It's only my dream don't stone me)
Chawa ,ujinga kabisaBaba Levo alikuwa diwani 🐼
Haaahaaaaaaaahaaaa😁😁Msigwa amepata haki yake. Labda asubiri ukuu wa wilaya.
Tuliza mkiaMbona humu kumejaa wale NRNE, si tulisema hakuna uchaguzi.....
Sasa haya ya majina kukatwa inatuhusu nini?
prime is doto mbona inafahamikaHe wont be, prime ni mwingine
Duh! Makamba!Hawa wamepenya kamati za wilaya
1. Nape Nnauye jimbo la Mtama
2. Peter Serukamba kule Kigoma Vijijini
3. Baba Levo kule Kigoma Mjini
4. Baruhani Muhuza Kigoma Majini
5. Paul Makonda Arusha Mjini
6. Ole Sabaya kapenya kule Arumeru Magharibi
7. Joshua Nasari Jimbo la Arumeru Mashariki
8. Aggrey Mwanri kule Siha
9. Eng Hersi Said jimbo la Kigamboni
Mpaka sasa majina yaliyokatwa na kamati za wilaya
1. Mrisho Gambo Jimbo la Arusha Mjini
2. Paulina Gekul kule Bahati Mjini
3. January Makamba jimbo la Bumbuli
4. Jerry Muro Jimbo la Hai
5. Peter Msigwa Jimbo la Iringa Mjini
6. Luhanga Mpina kule Kisesa
7. Mwita Waitara pale Tarime Vijijini
8. Mwijaku Jimbo la Mvomero
9. Furaha Dominic kule Kawe
10. Ole Sendeka kule Simanjiro
Tunafuatilia na majimbo mengine
Kwani October kuna Uchaguzi?Msigwa amepata haki yake. Labda asubiri ukuu wa wilaya.
Anakuwaje PM wakati 🇬🇧 na 🇺🇸 amepigwa pin?Makonda for new Prime minister of URT (It's only my dream don't stone me)