Tetesi: GE2025 Waliopenya kamati za CCM wilaya na walioliwa vichwa

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Huyu Tlaatlaah ambaye kiitikadi anafanana sana na yule mkerewe anaye kalamikiwa kuteka Amepita? Au amesha katwa?
 
We uliye muhenga na wahenga wenzako ndo mumetuharibia nchi. Kwendraaa na mawazo yako ya kijima.
Baadhi ya vijana wachache hamjielewi,ndio maana tunafanya usajili kwa umakini sana msije kutuharibua nchi kwa kutojua historia tulipotoka na tuendako- hamna uchungu wa nchi sabu jasho hamkulitoa- mmekuta vimeiva hamna uchungu navyo
 
list haiongezeki,, usianzishe uzi kama huna chanzo cha taarifa
 
Arumeru mashariki ndugu yetu sumary sioi hajapita kweli. Ccm muangalieni kijana yuko vizuri sana kichwani huyo kuliko sabaya jambazi.
 
kufanya U comed? kule siha alisha kuwa Mbunge miaka 10 na mbona hakuna cha maana pale? itawachukua miaka 500 mje kujua kwamba wabunge hawa wanasaka ajira na si vinginevyo.
Pata picha huyo anaweza kuwa msomi mkubwa, je wasiosoma ambao ndio wengi watakuwa wanafikira za namna gani?
Ndio maana tunaongozwa na vilaza wengi.
 
Alileta ushoga na wakakukamata wewe kukufira?Jinga wewe!
 
kufanya U comed? kule siha alisha kuwa Mbunge miaka 10 na mbona hakuna cha maana pale? itawachukua miaka 500 mje kujua kwamba wabunge hawa wanasaka ajira na si vinginevyo.
Wabunge hawana kazi yyte labda kuropoka tu huko bungeni ila kazi ya serikali inafanywa kupitia wakuu wa mikoa, wilaya na wakurugenzi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…