PreGE2025 Waliosafirishwa kujaza Mkutano wa CHAUMMA walalamika kutopewa malipo waliyoahidiwa

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Hahah Yani watu wanapewa buku tatu tena hazitoshi hata Kwa msosi, ina maana ubwabwa wa Bure haukuwepo...sema unajua Nini, nimegundua asilimia tisini ya watanzania ni wapumbavu wa kutupwa, yaani vitu vidogo namna hiyo vya kutumia akili lakini ni uji mtupu kichwani.
 
Very cheap propaganda.
 
CHAUMMA 2 CHADEMA 0
 
Kwamba unaipinga chauma huku umevaa t-shirt yao? πŸ˜‚
Yale yale ya TBC waliunda taarifa ya habari uchwara ety baadhi ya wanachadema wanapinga katiba mpya huku wamevaa t-shirt za kudai katiba mpya πŸ˜‚
 
Kwamba unaipinga chauma huku umevaa t-shirt yao? πŸ˜‚
Yale yale ya TBC waliunda taarifa ya habari uchwara ety baadhi ya wanachadema wanapinga katiba mpya huku wamevaa t-shirt za kudai katiba mpya πŸ˜‚
Hao ni sisiemu zero minded .

TBC habari zao huwa ni za kujiundia yaani wanaweza kumpanga MTU aongee na wakampatia tittle ya Engineer na akaalikwa studio .

Ila asiwe Engineer bali Mwalimu wa Primary
 
Walipofika DSM wakashangaa wanafahamishwa kuna mchakato wa kubadilisha jina CHADEMA kuwa CHAUMMA
Wacha Bhwanaaah!

Kwa bahati mbaya sana katika nchi yetu hii bado kuna ujinga wa kiasi hiki!

Lakini kweli, mtu usafiri safari ndefu kiasi hicho na bado usiwe hata na taarifa ya yanayo endelea ndani ya chama chako?
Ujinga kwa waTanzania ni mzigo mzito sana. Sijui tutautua lini mzigo huu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…