#COVID19 Waliosema wanatupa wiki 2 tuanze kuokota mizoga barabarani, wako wapi siku hizi?

Environmental immunity is a game changer plus consumption of natural food through out our lives.
No genetically modified food substances.
 
Huko mmeshaanza kuokota mizoga barabarani?
 
Tz tushaipeperusha corona kwa Jina lipitalo kila jina, yaani Jina la Yesu. Tuliomba na tunaendelea kumuomba Mungu atuepushie mabalaa haya yatokeayo kuzimu.

Yesu alishashinda mauti na kuzimu, kwa kufa na kufufuka kwake. Wote tuseme Amen.


JESUS IS LORD!
 
Wataalamu wa corona walitueleza na kutuonya vikali kwamba ni mwiko kufungua vyuo kutokana na corona la sivyo tutaokota wanavyuo kama kumbikumbi wakiwa wamejifia hovyo.

Wataalamu wakasisitiza tuvae barakoa na kujipaka sanitaiza wakati wote na kwamba Magufuli atajutia uamuzi wake wa kufungua vyuo. Maiti zitatapakaa katika namna ambayo haikuwahi kushuhudiwa.

Na kwamba wanafunzi hawa watageuka kuwa carriers wa virusi na watavisambaza kila mahali.

Leo ni wiki ya tatu, hakuna cha corona wala kitu gani. Sijasikia mtu afe wala kuugua japo tuvimafua.

Wataalamu mnasemaje?
 
Tarehe 1 Juni hadi leo tarehe 14 Juni ndio wiki 3 tayari zimetimia? Ma CCM buana, kila kitu ni porojo na ugoro ugoro tu.
 
Tarehe 1 Juni hadi leo tarehe 14 Juni ndio wiki 3 tayari zimetimia? Ma CCM buana, kila kitu ni porojo na ugoro ugoro tu.
Hivi hizi wiki 2 mnazotupaga kila siku mnaanza kuhesabu lini?
 
Zito alileta huzi wa kutabiri baada ya wiki kadhaa tutakufa kama kumbikumbi.
hizo wiki zilipowadia Ziwa Tanganyika likafurika maji mpaka kwenye majumba ya wapiga kura wake.
 
Baada ya kuona black hatufi kwa corona wameanza kutuua kwa ubaguzi wa rangi
Maana imeandikwa unabii lazima utimie
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…