Wewe jamaa ni 'bogus' kwelikweli; yaani kiazi mbatala hasa.
Sas hapa umeongeza mchango gani wa maana kwenye mada hii.
Hizo 100MW unazo sema zinapoteaje huko kaskazini, unajuwa; wewe mwenye elimu ya nishati?
Ni hivi: Kama umeme toka Bwawa la Rufiji kuufikisha Arusha zitapotea hizo 100MW; umbali wa kilometer siyo zaidi ya 600 KM; huo wa Ethiopia ambako umbali ni zaidi ya 1000Km, huo umeme utapotea kiasi gani, unajuwa?
Usidanganyie swala la uchakavu wa miundo mbinu za usafirishaji huo umeme, kwa sababu miundo mbinu hizo ni mipya, tumejenga kwa pesa ya AfDB, na mkopo hata hatujaanza kulipa!
Hakuna "utaalam" wowote unaofanya tununue umeme wa Ethiopia na kuacha huu wa kwetu ukipotea bure!
Kama kuna umbumbumbu, kati yako na huyo unaye mshambulia hapa, wewe ni hamna kitu kabisa kichwani, akili yote imehamia tumboni.
Mtu mzima unapojitoa akili kichwani kiasi hiki, inasikitisha sana.