Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 24,831
- 45,154
Walipofika ni level ya Juu sana hata Shetani anashangaa......Tununue Umeme Ethiopia na Waliomaliza Degree warudi VETAViongozi wamejua kuwa wanatuongoza sisi WAFU, hivyo wanajifanyia wanavyopenda.. Wakijua sisi ni kelele za chura
Ungejua wanavyofanya kazi usiku na mchana usingekuja na hizi lawama za kudhani kila mtu mwenye cheo anao mpango wa kuiba mali ya umma. Punguza mazingira na sababu za kujirundikia dhambi
Wewe jamaa ni 'bogus' kwelikweli; yaani kiazi mbatala hasa.Maneno mengi umeandika gazeti zima lakini utumbo mtupu. Umeshawahi kumtafuta huyo Mramba akuelezee kitaalam kwanini umeme unanunuliwa huko Ethiopia?
Megawatt 100 zinapotea huko kaskazini, ni masuala ya elimu ya nishati ambayo kwa maandishi yako wewe huna kabisa. Hata huo umeme unaonunuliwa kutoka Ethiopia sio biashara ya kubeba magunia ya mahindi kutoka nayo Msamvu na kuyapeleka Bukoba mjini, ni biashara inayofanyika katika mazingira mengine tofauti na tunavyodhania.
Eti "wanavyo fanya kazi usiku na mchana". Sasa ndio tukubali upuuzi wa namna hii mnaotufanyia?Ungejua wanavyofanya kazi usiku na mchana usingekuja na hizi lawama za kudhani kila mtu mwenye cheo anao mpango wa kuiba mali ya umma. Punguza mazingira na sababu za kujirundikia dhambi.
Mjinga mwingine huyu hapa. Umeme sio maembe mkuu useme kwamba yatapakiwa kwenye matenga kutoka Ethiopia kuja Tanzania.Wewe jamaa ni 'bogus' kwelikweli; yaani kiazi mbatala hasa.
Sas hapa umeongeza mchango gani wa maana kwenye mada hii.
Hizo 100MW unazo sema zinapoteaje huko kaskazini, unajuwa; wewe mwenye elimu ya nishati?
Ni hivi: Kama umeme toka Bwawa la Rufiji kuufikisha Arusha zitapotea hizo 100MW; umbali wa kilometer siyo zaidi ya 600 KM; huo wa Ethiopia ambako umbali ni zaidi ya 1000Km, huo umeme utapotea kiasi gani, unajuwa?
Usidanganyie swala la uchakavu wa miundo mbinu za usafirishaji huo umeme, kwa sababu miundo mbinu hizo ni mipya, tumejenga kwa pesa ya AfDB, na mkopo hata hatujaanza kulipa!
Hakuna "utaalam" wowote unaofanya tununue umeme wa Ethiopia na kuacha huu wa kwetu ukipotea bure!
Kama kuna umbumbumbu, kati yako na huyo unaye mshambulia hapa, wewe ni hamna kitu kabisa kichwani, akili yote imehamia tumboni.
Mtu mzima unapojitoa akili kichwani kiasi hiki, inasikitisha sana.
Acheni ushamba wa kukariri vitu vya kijinga. Magufuli alikuwa binadamu kama mimi na wewe.Eti "wanavyo fanya kazi usiku na mchana". Sasa ndio tukubali upuuzi wa namna hii mnaotufanyia?
Leo hii Magufuli, pamoja na ukichaa wake ule ange rudi na kukuta uozo huu, angeagiza nyote muwekwe kwenye 'firing squad' pale Mnazi Mmoja!
Huyo km mramba jpm alimtema tanesco inasemekana kwa kutaka kuwapa tena mkataba singa wa iptl. Mama akamrudisha. Tunaona mizengwe hii ya kununua umeme wa ethiopia kilometa maelfu huku umeme wa ziada unaxalishwa nchini.Hapa ni pamoja na viongozi watetezi wao akiwepo Mzee wa Pp anayeona Marekani haikoseagi kiuchumi
Huyu Anatuokotea Kila kitu nje Kama Dodoki bila kutuambia mazingira au Mfumo wa shirika la umeme la Marekani ukoje ni WA ushindani au Monopoly
Nchi inapambana walau tuongeze export ya maparachichi , tunapata Fursa ya kuuza umeme tunaiacha tunaenda kununua sisi ety
Hata Kama ndo mnatadharau wananchi lakini msidharau na viongozi wetu
Umeme wa Ethiopia chanzo chake ni mto Nile unaotoka nchini kwetu ziwa Victoria
Unaenda kuzalisha umeme nchi iliyoko maelfu ya kilometa unarudishwa nchini kwa maelfu ya kilometers tunauzia kwa mamamilion ya hela za kigeni
Inawezekanaje Ethiopia isafirishe umeme Hadi Kenya Namanga ipate faida lakini tupate hasara kusafirisha humu humu NDANI
Kama tunataka vyanzo mbadala tunatanunuaje chanzo kile kile kinachofanana Cha maji Tena yanayotoka nchini kwetu
Kwanini tusizalishe vyanzo vingine Kama solar upepo SINGIDA same, geothermal humu humu NDANI
Incase ikitokea ukame ?
Je mabwawa yaliyoko kaskazini nayo yanazalisha kwa hasara ?
Hata mtoto aliyesoma geography ya Darasa la tano utamweleshaje umeme KUTOKA Ethiopia ni rahisi kuliko Rufiji akuelewe ???
Uvumilivu wetu Kama wazalendo una mwisho pia
Kama hawatahojiwa Kuna siku tutachukua nchi yetu wazalendo tutawahoji
Sio tumalize uchaguzi tusikie skendo ya umeme wa Ethiopia haitusaidii
Mwanamke oyeeee,wanawake mjitathimin,mambo ya kuongoza makundi hakupewa mwanamke.Hapa ni pamoja na viongozi watetezi wao akiwepo Mzee wa Pp anayeona Marekani haikoseagi kiuchumi
Huyu Anatuokotea Kila kitu nje Kama Dodoki bila kutuambia mazingira au Mfumo wa shirika la umeme la Marekani ukoje ni WA ushindani au Monopoly
Nchi inapambana walau tuongeze export ya maparachichi , tunapata Fursa ya kuuza umeme tunaiacha tunaenda kununua sisi ety
Hata Kama ndo mnatadharau wananchi lakini msidharau na viongozi wetu
Umeme wa Ethiopia chanzo chake ni mto Nile unaotoka nchini kwetu ziwa Victoria
Unaenda kuzalisha umeme nchi iliyoko maelfu ya kilometa unarudishwa nchini kwa maelfu ya kilometers tunauzia kwa mamamilion ya hela za kigeni
Inawezekanaje Ethiopia isafirishe umeme Hadi Kenya Namanga ipate faida lakini tupate hasara kusafirisha humu humu NDANI
Kama tunataka vyanzo mbadala tunatanunuaje chanzo kile kile kinachofanana Cha maji Tena yanayotoka nchini kwetu
Kwanini tusizalishe vyanzo vingine Kama solar upepo SINGIDA same, geothermal humu humu NDANI
Incase ikitokea ukame ?
Je mabwawa yaliyoko kaskazini nayo yanazalisha kwa hasara ?
Hata mtoto aliyesoma geography ya Darasa la tano utamweleshaje umeme KUTOKA Ethiopia ni rahisi kuliko Rufiji akuelewe ???
Uvumilivu wetu Kama wazalendo una mwisho pia
Kama hawatahojiwa Kuna siku tutachukua nchi yetu wazalendo tutawahoji
Sio tumalize uchaguzi tusikie skendo ya umeme wa Ethiopia haitusaidii
VIONGOZI WA CCM WAMEPOKEA MABILIONI YA RUSHWA KUTOKA ETHIOPIA KUFANIKISHA HAYO YA WAO KUUZAUMEME TZ SAMIA BINAFSI NI MNUFAIKA WA HAYO MABILIONIHapa ni pamoja na viongozi watetezi wao akiwepo Mzee wa Pp anayeona Marekani haikoseagi kiuchumi