Waliosoma Jitegemee Secondary School hebu ingieni hapa Tusalimiane

Nakumbuka Renatusi Njohole amesoma Jitegemee tena kipindi hiko kapten Msimbazi
 
Reactions: Paw
MWANAKA safi sana aise dah unatukumbusha uwanja wa damu bana na hilo gwaride
 
Last edited by a moderator:

Mkisi wakati huo akiwa mwalimu wetu wa GS yaani we acha tu..!!(jamaa alikuwa na vichekesho sana licha ya kuwa serious wakati fulani)
Kipindi hicho ndo katokea UDSM kuchukua master yake
 
hapo kwenye red upo sahihi kabisa aise..!!
 
Mkisi wakati huo akiwa mwalimu wetu wa GS yaani we acha tu..!!(jamaa alikuwa na vichekesho sana licha ya kuwa serious wakati fulani)
Kipindi hicho ndo katokea UDSM kuchukua master yake
MWANAKA unakumbuka jamaa alianzia pale pale kama mwanafunzi na alikuwa prefect wakati huo akiwana akina Mbise walikuwa wanoko mbaya aise. Wakikikuta town hujachomekea au kuvaa neck tie unarudishwa mpaka shule na walikuwa wanapenda sana kuchukua sox na sweta za wanafunzi ambazo sio za rangi ya shule na vitambaa vile vya bendera za marekani au headphone au chochote ambacho hakiruhusiwi. Wanakaa navyo ikifikia December wanagawana bana

hapo kwenye red upo sahihi kabisa aise..!!

Mkuu sijui kwa nini Massawe haoni aibu akarudi kuiokoa shule aise hata irudi kwenye mstari
 
Last edited by a moderator:
Daaaaah.....Jite imetujenga sana, sihitaji kusema mengi Vip Ndyamukama bado yuko palepale getini????, RIP Mlimi Mnandi, Vip Mwalimu babu kipofu, Chacha, Masemele bado wapo Jite?
 
MWANAKA nakuogopa usije ukatoa tuu picha yangu aise maana naona library yako imejaa picha za Jiteute
 
Last edited by a moderator:
Daaaaah.....Jite imetujenga sana, sihitaji kusema mengi Vip Ndyamukama bado yuko palepale getini????, RIP Mlimi Mnandi, Vip Mwalimu babu kipofu, Chacha, Masemele bado wapo Jite?

Masemele wa book keeping na Commerce duh mkuu ile shule acha tuu ilitufunza mengi sana
 
Reactions: Paw
JITEGEMEE ndio nini? ,ipo nchi gani?

lakini mlikuwa mmefeli form form four undo maana mkaenda jitegemee sec

kwani zamani mlikuwa mnafanya vizuri?

Mimi ni alumni wa taboraboys na mzumbe sec

Mimi ni alumni wa taboraboys na mzumbe sec

Mimi ni alumni wa taboraboys na mzumbe sec

Kumbe paw kasomea jitegemee maana yake alifeli form4 ndio akaenda jitegemee yaani blog kubwa kama jamiiforums inaongozwa na watu waliofeli sekondari ni aibu kubwa kwa blog kama hii kuongozwa na vilaza

Mkuu mpigamsuli Pengine uliishia Mzumbe ukawa umerudi kwenu lakini kama angalau ulifika hata Chalinze lazima utakuwa unaifahamu Jitegemee
 
Last edited by a moderator:
Mkuu mpigamsuli Pengine uliishia Mzumbe ukawa umerudi kwenu lakini kama angalau ulifika hata Chalinze lazima utakuwa unaifahamu Jitegemee

hehehe! hawa ndio wale waliongia dar ukubwani kwa mara ya kwana baada ya kumaliza secondary mikoani na kuja dar kuendelea na masomo ya juu udsm,dit,cbe,ifm nk.
 
Last edited by a moderator:
kadoda11 huoni jamaa anasema Jitegemee ni kwa wale waliofail form four ndo wanaenda pale hajui wengine walifaulu msingi ila wakaona haina haja ya kwenda government school wakaishia Jitegemee
 
Last edited by a moderator:
Dah kumbe!
Basi mwenzio nilidanganywa na NECTA kuwa nimefaulu hata cheti walikipamba kwa flying colours.

Sheria za jamiiforums lazma zirekebishwe kuzuia mamods kama "paw" kujiingiza kwenye mijadala inayoendelea humu jamvini ,ninavyojua kazi za mods nikuangalia nidhamu ya mienendo ya members ndani ya jamiiforums na sio kujihusisha na mijadala ya memberz humu jamvini
 
Reactions: Paw
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…