Waliosoma Jitegemee Secondary School hebu ingieni hapa Tusalimiane


Mkuu mbona kama umepanic hivi? kama vp kausha basi!!!
 
Dah shule yangu...naipenda sana jitegemee. Sitasahau siku niliopita smart area bila kukimbia, nilifanya kazi yakutoa majivu pale kwenye lile tunaweka takataka, nilichafuka nilikua kama kinyau kilichopotea duh...afande tall sitamsahau inabidi nifanye siku nikamsalimie
 

Mods hawajatoka mbinguni au pluto au mars. Ni watu kama sisi, they grew up with us. Hoja yako ni mufilisi, na naitupilia mbali.
 
Mlienda jitegemee kwa sababu mlifeli over

Wewe uliye faulu umevumbua nini? Acha uzwa zwa wewe...tena unaonekana mbombongafu a.k.a ndezi kweli kweli na tabora boys yako.

Some of us were selected to join your so called special school but we declined! Instead we went jiteute.

Jifunze heshima wewe.
 

mkuu huyu jamaa bila shaka ana ajenda yake anayoijua yeye na nadhani amedhamiria kabisa kuharibu huu mjadala cha msingi tumpuuze na tusijibishane naye tuendelee na mjadala wetu
 
mkuu huyu jamaa bila shaka ana ajenda yake anayoijua yeye na nadhani amedhamiria kabisa kuharibu huu mjadala cha msingi tumpuuze na tusijibishane naye tuendelee na mjadala wetu

Kweli kaka. Au tumkabidhi kwa makuruta wa mgulani wamshughulikie nini?! Hahahahaaa
 


Mkisi wakati huo akiwa mwalimu wetu wa GS yaani we acha tu..!!(jamaa alikuwa na vichekesho sana licha ya kuwa serious wakati fulani)
Kipindi hicho ndo katokea UDSM kuchukua master yake

tulishaingizwa kwny hii ofisi, huku Mkisi huku tall, kosa ni kuchelewa Assemble. Pigwa fimbo za hatare wee. kuna kipindi Jite ni chungu.
 
Kwa waliopita hostel, bweni la Mwakyambiki lilikuwa limepakana na nyumba ya mzee mmoja alikuwa fundi mule kambini, alikuwa na mtoto wake anaitwa Herieth...watu wamepona sana kwa huyu demu...yaani kuanzia o'level hadi high school...na kama alikuwa ana ngoma huyu demu basi kaondoa wengi sana
 

Namkumbuka sana huyu demu watu wamejiponea sana nakumbuka mama yake alikuwa anakaanga karanga mara, maandazi mara nyingine alikuwa anafunga maji pia halafu kuna mda wanafunzi walikuwa wanajaa sana pale wakiangalia Tamthiliya baada ya kutoka prepo ka Tv. kalikuwa kanakaa sebuleni pale sebureni karibia na mlangoni halafu njemba zinakusanyika nje
 
School JAzz BAnd
School Steel BAnd

Ziliwika sana enzi za Massawe
 
Duu Mimi namkumbuka mwalimu sikaponda,Ntibwela,Bashaka,Mpeta,Mama kilala,Midodi etc

Hv afande ntibwela yupo jamani maana yale matusi yake yalitusababishia majanga assembly tulicharazwa sitokaa ni sahau....siku hiyo asubui Masawe yuko mbele anahutubia ntibwela akawa anazingukia mistari ya wanafunzi na yale matusi yake kosa kijana mgeni akacheka bwanabwana akabwatuka afande wanakucheka huku walikuja ma MP tulichangamkiwa sitokaa nisahau.
Skaponda (shozniga) niliskia amefariki.
Hivi afande njenje (Bakuza) naye yuko wapi
 

Hahahahaaa....mkuu ulipiga nini?! Au we zako ulikuwa unapigia madarasa ya inter chick...hahahahahaaa
 
Hahahahaaa....mkuu ulipiga nini?! Au we zako ulikuwa unapigia madarasa ya inter chick...hahahahahaaa

Ha! Ha! Ha! Mkuu mimi sikubahatika Sikupiga aisee
 
Jite 2001 to 2003, pcb
Duuh, mnekumbusha mbali sanaa. Kwan wakuu hamna hata RE UNION? tengefanya tukutane siku na tupige story na kujuanaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…