Waliosoma Jitegemee Secondary School hebu ingieni hapa Tusalimiane

Waliosoma Jitegemee Secondary School hebu ingieni hapa Tusalimiane

Mtamile;Ni kweli mkuu hali ni mbaya sana Msaada wa haraka sana unahitajika ni watu wengi sana wqmepita pale naamini kabisa tukiunganisha nguvu tunaweza kutoka hatua moja kwenda hatua nyingine

Tusaidie jeshi kwenye elimu?
 
Ndio mkuu. Kwani kuna tatizo gani kama alumni tutaisaidia Jitegemee kwa mawazo, mbinu, hali na mali?!
 
Ni kweli mkuu hali ni mbaya sana Msaada wa haraka sana unahitajika ni watu wengi sana wqmepita pale naamini kabisa tukiunganisha nguvu tunaweza kutoka hatua moja kwenda hatua nyingine

Itakuwa vyema kama mchakato huu utafahamika na uongozi wa shule kwa hatua za mwanzo.
 
Mtamile;Ni kweli mkuu hali ni mbaya sana Msaada wa haraka sana unahitajika ni watu wengi sana wqmepita pale naamini kabisa tukiunganisha nguvu tunaweza kutoka hatua moja kwenda hatua nyingine

Tusaidie jeshi kwenye elimu?

Mkuu inawezekana kabisa hatushughuliki na elimu ya Kijeshi. Tuta deal na hii hii ya Mlugo
 
da! umenikumbusha KIHIMBI(SHORT) NA TALL walikuwa wanasimamia mabweni.kwa matusi tu! ni nomaaaaaaaa....nakumbuka siku kitanda kilipopotea bwenini..tulilamba mboko..uwanja wa damu pale magoti yalichubuka. adhabu ilianza saa kumi na mbili jioni baada ya darasa mpaka saa mbili za usiku. tukagoma kula..yalaaaaaaaaah, kumbe tumegoma ndani ya kambi ya jeshi..! usiku ule uligeuka MCHANA ghafla..! Shukrani zimwendee HM MASSAWE kesho yake alitumia hekima kutunusuru. zawadi yetu kwake tulimpa DIV ONE KUMI NA MOJA(11)..kama sijasahau sana mwaka 1998.

simsahau mwalimu mmoja wa bookkeeping, simkumbuki jina, ukikosea tu..unaitwa ofisini unaambiwa ukumbatie madaftari yaliyopangwa kwa kwenda juu bila kuangusha huku unalamba fimbo siyo chini ya 8.

sisahau pia fimbo za masaa. asubuhi 6, mchana 6 na jioni 6.

yote kwa yote JITE ilinifundisha maisha. Big up H/M KANALI F MASSAWE(RC KAGERA).
 
  • Thanks
Reactions: Paw
Kuna jamaa walisoma hapo wikuwa wanacheza Mpira balaa e.g.Salehe Badi,Machota, Dav Kipua,Kulwa Evance,etc
 
Msalime Ndyamkama na bitozi yake na baadae suzuki samrai yake.Baba wa kihaya huyo

Mkuu umenikumbusha mbali kweli kweli bito ya Ndyamkama ilikuwa kama hii
COMBI.jpg
 
Mtamile mawazo yaliyotolewa kwa kweli yanafaa sana kufanyiwa kazi
Jitegemee ya sasa sio ile Jitegemee tuliyopita sisi ambapo ulikuwa unatafuta ziro ziko wapi na one zilikuwa za kumwaga ila kwa sasa unatafuta one ziko wapi ila zero na iv ni za kumwaga
Sisi tulipita pale na tuliona namna shule ilivyokuwa nanidhamu na mazingira mazuri ya kusomea japo wakati huo hata library na lab ilikuwa hakuna kwa sasa wana majengo mazuri wanalibrary nzuri wana lab na kila kitu kwenye net ila ndo Jitegemee inazidi kudidimia
Hebu Jitegemee Alumni tufanye la maana bana
Cc Paw, Kulya, nyenjenkuru, manyasn, mpambe
 
Matokeo haya na ya mwaka jana yameniumiza na kuniudhi sana.

Inabidi Alumni tuoneshe kuumizwa kwa vitendo zaidi. Naunga mkono hoja kufanya jambo la kufuta aibu kama hii siku za usoni.

Duh mi wa jitegemee from 2001-2004 noma sana pale,yule bruno kuna siku katudaka tumechelewa shule afu smart area tunatoka nduki mbaya akatutuliza akatupeleka muembeni pale mbele ya ofisi ya getini tukaruka sana kichura kuzunguka muembe..tumetolewa hapo tukapelekwa smart area mnakimbia afu mkiambiwa nyukiii mnainama ili awaone wote...safar ikafika uwanja wa damu..tukapiga sana route pale za kukimbia na kwata...tukalowa sana jasho tukapelekwa kwenye bwawa pale la maji tukaambiwa kila mtu atie shat kwenye maji afue zitakate..tukamaliza tukaanika tukakaa vifua wazi had shat zikakauka...mda wa mapumzko ndo tukaachiwa dah sikuchelewa tena na nkichelewa nlikuwa siingii ndani nkimuona bruno au dmx aiseeeee

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
Matokeo haya na ya mwaka jana yameniumiza na kuniudhi sana.

Inabidi Alumni tuoneshe kuumizwa kwa vitendo zaidi. Naunga mkono hoja kufanya jambo la kufuta aibu kama hii siku za usoni.

Sio yanasikitisha tuu yanaudhi kuyaona kuwa ni ya wana Jitegemee
Yaani unaona aibu hata kusema nilipita jitegemee na nikafaulu maana si kwa matokeo kama haya ya sasa ambayo zero zimejaa
Kweli wanaJitegemee popote walipo na ikiwezekana kwa mawasiliano na Mzee Massawe aambiwe kabisa aone aibu kwa matokeo haya ya shule aliyokuwa anajivuynia popote alipo na mchango wake ni wa muhimu sana
 
Mtamile mawazo yaliyotolewa kwa kweli yanafaa sana kufanyiwa kazi
Jitegemee ya sasa sio ile Jitegemee tuliyopita sisi ambapo ulikuwa unatafuta ziro ziko wapi na one zilikuwa za kumwaga ila kwa sasa unatafuta one ziko wapi ila zero na iv ni za kumwaga
Sisi tulipita pale na tuliona namna shule ilivyokuwa nanidhamu na mazingira mazuri ya kusomea japo wakati huo hata library na lab ilikuwa hakuna kwa sasa wana majengo mazuri wanalibrary nzuri wana lab na kila kitu kwenye net ila ndo Jitegemee inazidi kudidimia
Hebu Jitegemee Alumni tufanye la maana bana
Cc Paw, Kulya, nyenjenkuru, manyasn, mpambe

Nashauri kama kuna alumnus yoyoye ana mawasiliano ya moja kwa moja na uongozi au mwalimu yoyote au anaweza kufika jite aonane na uongozi na kutaarifu azma ya alumni kuisaidia shule.

Then shule inaweza kutusaidia kuorganize our meeting kiurahisi.

Kwasasa niko Mwanza, nitajitahidi kuona kama naweza kupata mawasiliano na uongozi ili nifikishe ujumbe wetu.

This school belongs to me! This school belongs to you! This school belongs to us....

Its up to me and you!!!
 
Mkuu Kulya tena hapo uko karibu sana na Massawe na kama akija mwanza au ukipata mawasiliano nae mwambie wazi kabisa shule inatisha inaanguka kifo cha mende na atachekwa aliiacha shule ikiwa nzuri na kama mdau alipaswa alijua hata inaendeleaje
Wadau mlioko Dar fanyeni mipango na walimu au uongozi wa Jitegemee kwa sasa kuweza kujua na kupata namna sisi tuliopita pale tunaweza kuisaidia Jitegemee kuondokana na aibu hii ya matokeo mabaya ambayo yanatia aibu kwa kweli
 
Last edited by a moderator:

Nimekusoma mkuu Mr. Rocky. Nitafanyia kazi.
 
Last edited by a moderator:
....This school belongs to me! This school belongs to you! This school belongs to us....
I love this spirit.

Basi hii phrase ibebe maana kwa move ya Alumni wote kuguswa na haya yanayojiri na kufanya kila liwezalo kuirejesha shule yetu kwenye nafasi bora za ufaulu na mambo mengine...

Nakumbuka bwenge alikuwa na sira mbaaya sasa sijui binti yake kama alifata hasara ya sura ile kwa bahat mbaya sikuwah kumwona huyo binti namkumbuku pia mwl Ntibuela alikuwa poa sana, nakumbuka wakati nasoma ilikuwa mwiko mwanafunzi kwenda shule na zaidi ya shilingi elfu tano na tena kuna wakati walimu walikuwa wanatukagua.
Siku moja kuna mwanafunzi tulikuwa tunamwita mdudu nyoka alikamatwa akiwa na shilingi elfu sita akatakiwa amwite mzazi.
Jamaa kufika nyumbani akamwambia mzee wake kuwa ada aliyompa amenyang'anywa na mwalimu mmoja anaaitwa Bwenge, kumbuka wakati huo tulikuwa tunalipa ada shilingi laki moja na elfu ishirini.
Siku ya pili mzazi wa mdudu nyoka yaani mzed nyoka mwenyewe akaja shule akitaka kumwona huyo mwalimu aliyepora ada ya mwanae. Kufika ofisini akakutana na Bwenge basi mzee akaanza kumweleza bwenge kuwa ile hela ilikuwa ni ada hivyo mwanae hana kosa hivyo ampe hiyo hela akalipe hapo ndipo kazi ilianza bwenge katoa elfu sita mzazi akakataa akasema na laki na ishirini wakashindwa kuelewana akaitwa mkuu wa shule afande Massawe.
Kesi ikawa kubwa ikabidi aitwe mdudu nyoka kuulizwa jana bwenge alichukua sbilingi ngapi akasema na laki na ishirini hiyo kauli ilimchanganya mno bwenge na kwa kuwa Massawe hakutaka liende mbali ikaamriwa bwenge arudishe laki na ishirini siku hiyo nilimwona bwenge akitoa machozi unajua wakati huo hiyo hela ilikuwa nyingi sana.
Toka wakati huo ikawa hakuna kupekuana tena na nakumbuka mdudu nyoka alikuwa tajiri kwa mwezi mzima mpaka akamaliza ile ada.
 
Back
Top Bottom