Waliosoma shule za Ufundi (Technical schools) Tukutane hapa

Habari za kazi wana Jf, Tunajua kuna level nne za shule (secondary/Ordinal level) hapa kwetu Tanzania
1. Special (Vipaji maalumu)
2. Technical (Ufundi)
3. Boarding (Bweni kawaida)
4. Teule (shule za halmashauri )
5. Day (kata)

wale waliosoma shule za ufundi tujadili ubora na madhaifu yaliyokukuta/ulioyaona kwenye shule hizi (Iyunga, Ifunda, Mtwara Tech, Moshi Tech, Tanga Tech, Musoma Tech na Bwiru Tech zimeongezeka mwadui na chato Tech)
changamoto
• ufundi mnasomea darasani tu hakuna vitendo

Faida
•Engineering science ili somo tamu bana ila sijawahi jua kati ya Physics na ES lipi gumu zaidi madude ya Projectile, angular motion unayapiga ukiwa three tu
• wananolewa vijana ambao wanaenda kuwa wasumbufu sana huko special Advance mfano Cloud Kitumbika pale Tabora school no 3 TO 2020, Edward Lowassa aliwasumbua sana Ilboru na kuwa top ten kitaifa miaka ya 2020
•wanazalishwa maEngineer waliopure sana wakipita Tech

tupia unalolijua kuhusu Technical schools
Mazengo Tech.. 1998-2001 sasa inaitwa St. John University.
Kwa sasa ni Eng.
Thanks
 
IYUNGA TECHNICAL SECONDARY SCHOOL
images (20).jpeg
images (19).jpeg
 
Man to man mtu hatari sn...cku moja nilienda mtembelea rafiki yangu kule bweni la Mirambo ndio nilimsikia huyo jamaa. .tulipanda juu ya dari ndio ikawa salama yetu. ..K4 km sikosei
sisi Iyunga alikuwa jamaa anaitwa Ambonisye huyu alisoma pale pia chocho zote anazijua usiombe mwalimu ajue kila chaka la watoto
 
Habari za kazi wana Jf, Tunajua kuna level nne za shule (secondary/Ordinal level) hapa kwetu Tanzania
1. Special (Vipaji maalumu)
2. Technical (Ufundi)
3. Boarding (Bweni kawaida)
4. Teule (shule za halmashauri )
5. Day (kata)

wale waliosoma shule za ufundi tujadili ubora na madhaifu yaliyokukuta/ulioyaona kwenye shule hizi (Iyunga, Ifunda, Mtwara Tech, Moshi Tech, Tanga Tech, Musoma Tech na Bwiru Tech zimeongezeka mwadui na chato Tech)
changamoto
• ufundi mnasomea darasani tu hakuna vitendo

Faida
•Engineering science ili somo tamu bana ila sijawahi jua kati ya Physics na ES lipi gumu zaidi madude ya Projectile, angular motion unayapiga ukiwa three tu
• wananolewa vijana ambao wanaenda kuwa wasumbufu sana huko special Advance mfano Cloud Kitumbika pale Tabora school no 3 TO 2020, Edward Lowassa aliwasumbua sana Ilboru na kuwa top ten kitaifa miaka ya 2020
•wanazalishwa maEngineer waliopure sana wakipita Tech

tupia unalolijua kuhusu Technical schools
Lyamungo Secondary School.
 
Nimetoka pale about 48yrs ago labda hakuwepo kipindi hicho.
Hahaha shikamoo mkuu, man to man alimaliza pale pale Ifunda miaka ya 90 then akarudi pale kama mwalimu, pengine wew ni mkubwa sana kwake.

Miaka ya 2000 wakati sisi tupo pale alikuwa bado kijana sana, kila kukicha kukimbazana na wanafunzi, damu changa.
 
Back
Top Bottom