Waliosoma shule za Ufundi (Technical schools) Tukutane hapa

Naam ,ile Top cream ya Tech school ile huwa inachoma kama pasi,ila hawa wanaotoka na Div One za kawaida ,ndo watoto wa kata wanajipigia Advance Vilivyo
Kum mmoja alitoka advance level na one point 12 ilboru kawa anajiona mwamba jamaa alikiwa kuwa kilaza wa shule na alipata 0 ACSEE
 
Kitu pekee nachojutia nilisoma shule ya ufundi halafu sikusoma ufundi[emoji1]

Joseph Mungai alaaniwe.

Mwaka tuanza form one akafuta ufundi halafu eti akaleta soma PHYSICS WITH CHEMISTRY. halina mtaala Wala silabasi.

Tulipoingia form 2 wakarudisha Yale masomo na kutenganisha phy with chem sio basi tena.

Shule tulikuwa tunataniwa wazee wa HISTORY maana technical school hawasomi history kabisa na biology na geography kwao ni option unachagua Moja unaacha lingine.

Shule nilioyosma Iko kati iwambi na nzove kwa upande wa mashariki na magharibi na kati ya Kalobe na Itigi kwa upande wa kaskazini na kusini.

Levavi Oculus.
 
Mnatumia vitabu vimetungwa enzi za mjerumani kina mambo mengi balaa.

mashine ticha kaificha tu inapigwa na vumbi tu ofisini, hamtumii.

Kuna ticha anaitwa mwakasege pale iyunga wa welding, yule wanafunzi wake alikuwa anawafundisha mpaka practical. Naamini wale jamaa wakitoka pale wanaweza kujiajili.
Mwakasege A.K.A kyege[emoji1]
 
Umenikumbusha kitabu kimoja Cha Engineering Science kiliandikwa na mwamba mmoja aliitwa T.T Comb.

Yaani ukitembelea humo, ilikuwa kama unawachungulia NECTA wanavyoingia kwenye mfumo.
Watu wa tech walikuwa wanapata A za bure sana kwenye ENGINEERING SCIENCE Wala sio ngumu sana kama physics mule Kuna mikaluu tu
 
Kitu pekee nachojutia nilisoma shule ya ufundi halafu sikusoma ufundi[emoji1]

Joseph Mungai alaaniwe.

Mwaka tuanza form one akafuta ufundi halafu eti akaleta soma PHYSICS WITH CHEMISTRY. halina mtaala Wala silabasi.

Tulipoingia form 2 wakarudisha Yale masomo na kutenganisha phy with chem sio basi tena.

Shule tulikuwa tunataniwa wazee wa HISTORY maana technical school hawasomi history kabisa na biology na geography kwao ni option unachagua Moja unaacha lingine.

Shule nilioyosma Iko kati iwambi na nzove kwa upande wa mashariki na magharibi na kati ya Kalobe na Itigi kwa upande wa kaskazini na kusini.

Levavi Oculus.
Iyunga moja hiyo
 
inaonesha ulikuwa unaikubali sana Iyunga Tech
 
Ifunda tech moja hiyo,sema sahizi wameikarabati inavutia kinoma.

Changamoto lilikuwa liticha linaitwa mwakalago,yani ticha kama upo humu nakumind mpaka leo.Ulikuwa mnoko kichizi
Nasikia kuna mwingine aliitwa Man to Man...sijui alikua anafanya nn madenti
 
Back
Top Bottom