Waliosoma shule za Ufundi (Technical schools) Tukutane hapa

Pale Musoma Tech tulikuta utaratibu wa baadhi ya wanafunzi wa form one kupewa tena mtihani muda mfupi baada ya kureport, ukifaulu mtihani ule unaenda Shule za Vipaji nakumbuka mwaka wetu ilikuwa Tabora boys!
 
amka amka kaka kumekucha
 
Pale Musoma Tech tulikuta utaratibu wa baadhi ya wanafunzi wa form one kupewa tena mtihani muda mfupi baada ya kureport, ukifaulu mtihani ule unaenda Shule za Vipaji nakumbuka mwaka wetu ilikuwa Tabora boys!
miaka gani hio mkuu ?
 
Engineering science vs physics ,dah [emoji23] unasema somo tamu na ujui limetokea wapi Engineering science ni branch ya physics
 
Partical ya Moshi Technical nipo hapa from KARUME 33.

Moto " KUTII, KUWAJIBUKA NA KUZIBUNI MBINU ZA KAZI"

Nimesoma Plumbing (CIVIL).
Engineering science ilinifanya niione Mechanics ya Advance ni nyepesi sana wakati wenzangu wanalia.
Mwaka gani?
 
Nimefurahi sana chuo cha MUST kuanza kutoa ualimu wa masomo ya ufundi maana watatoa walimu vijana watakaoenda kubadirisha mambo mengi ambayo yalikua chini ya wazee. Tanga tech tulikua tunafundishwa architecture na mr Mgonja ambaye ana notes alizofundisha 70s, Necta walishavitoa kwenye mtaala [emoji1787][emoji1787][emoji1787].
 
mambo mengi ambayo yalikua chini ya wazee. Tanga tech tulikua tunafundishwa architecture na mr Mgonja ambaye ana notes alizofundisha 70s, Necta walishavitoa kwenye mtaala [emoji1787][emoji1787][emoji1787].
😂😂😂😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…