Waliounga mkono juhudi za Dkt. Magufuli, wajiuzulu sasa

Mkuu samahani sana!!

Kuhusiana na huo msitari wa mwisho kabisa, hivi ni kweli na kuna ithibati juu ya hilo? Au ni tetesi tu za watu!!?

Maana naona wengi humu wanaongelea swala hilo as if it is confirmed!
 
Wengi tulioonekana wapingaji ukiangalia, tulichokuwa tunapigania ni mifumo thabiti ya kitaasisi ya uendeshaji nchi, siyo 1 man show!

1 man show itapelekea political power vacuum,

Everyday is Saturday............................... 😎
 
Mama samia aweke mariziano lisu arudi nyumbani kwake visasi viishe inchi irudi kama zamani na asimamie aliyokuwa anayahitaji Rais Magufuli.
Izingatiwe mama alidiriki kuonyesha moyo pale alipoenda Hosipitali Lisu aliyo lazwa Nairobi inatosha kuonyesha ni mpenda maridhiano
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…