... kuna umuhimu wa kuunda tume huru za kiuchunguzi ukweli ujulikane na wahusika wawabishwe! Sakata kama la Lissu bado bichi na mashahidi wote wangalipo hai.Dunia tunapita.Lakini jamaa alijiona Mungu mtu.Hivi kweli unaua watu kisa mamlaka?
Mkuu ni mtanganyika kama weweWewe nani mpaka useme hivi?
Acha kuchochea chuki.
Swali la kawaida kabisa unataka kuzusha vita!!
Ni heri kumtegemea Mungu, kuliko kumtegemea mwanadamu!Wafuatao sijui watajisikiaje muda huu,walikuwa wakisubiri teuzi.
1. Dr Mashinji
2. Joshua Nasari
... kuna umuhimu wa kuunda tume huru za kiuchunguzi ukweli ujulikane na wahusika wawabishwe! Sakata kama la Lissu bado bichi na mashahidi wote wangalipo hai.
Na wale wabunge walioitwa naye" NILETEENI FULANIIIII" Pia wajikate aliyewaita hayupo bila kuwasahau wale wote waliopitishwa naye wakati sisi wajumbe tuliwakataa.
Maza tukishamaliza kuzika kimbiza wote na tuanze alifu kwa ujiti.
Nani anachangisha pesa za mchango ili nimchangie maza aweze kulifanikisha hili?
Nalog off
Haya bwanaKatika siasa za Tanzania tulishuhudia wanasiasa wa upinzani wakiunga mkono juhudi za Dkt. Magufuli.
Bahati mbaya Mungu kamchukua Dkt. Magufuli. Kwa kuwa waunga mkono juhudi walijikita kuunga mkono juhudi za mtu ambaye hatunaye tena sioni sababu za msingi zitakazowafanya waendelee kuwepo kundini (CCM).
Sikuwahi hata mara moja kuwasikia wakiunga mkono sera nzuri za CCM kwa maana ya chama cha siasa waliunga mkono juhudi za mtu.
Ukweli unapokuwa unafiki na unafiki unapokuwa ukweli. Ila tutaelewana tu.Acha unafiki
Mama samia aweke mariziano lisu arudi nyumbani kwake visasi viishe inchi irudi kama zamani na asimamie aliyokuwa anayahitaji Rais Magufuli.