Waliowahi kulala gesti za ajabu na kukutana na visa tukutane hapa

Wazee ngoma ilinikuta Mafinga, nikasogezewa mzigoo kumbe unataka niunyweshe alafu uje kunibania papuchi weeee nikaubana nikauvua Mara paah nikakuta ameweka pedi eti baby nableed. Nikamkomalia nikamwambia nakupiga tg akanywea akatoa kumbe ameweka mitomato sosi kwenye pedi. Asubuhi eti anajidai asante Ila umenisugua vizuri. Huwa tunaweka tomato ili tukilewa wasitusumbue. Ahahahaha
 
hahah ukisikia kukaba hadi penati ndio huko
 
kuna lodge ipo hapo shivers kwa nyuma inaitwaje? kama unelekea kanisani
 
Kwa hiyo unataka kuniambia kuna baadhi ya watanzania ni SHEMALES

kwa hapa tanzania sidhani kama wapo.... maana kwenye taarifa ya habari juzi nimeona kuna shemale wa italia alikuwa anaingia zanzibar karudishwa airport palapele

ila utandawazi unavyoendelea we subiri tu tutaanza kukutana nao club
 
Aisee naomba hiyo hadhaa iniepuke kwa kweli...
 
Self halafu Choo cha shimo hahahaaa
 
Bangkok, Pattaya, Phuket, Chiang Mai. Hapa kuna wale wanaitwa ladyboys na kutofautisha Kati ya girls and boys ni ngumu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…