Waliowahi kulala gesti za ajabu na kukutana na visa tukutane hapa

Waliowahi kulala gesti za ajabu na kukutana na visa tukutane hapa

Wazee ngoma ilinikuta Mafinga, nikasogezewa mzigoo kumbe unataka niunyweshe alafu uje kunibania papuchi weeee nikaubana nikauvua Mara paah nikakuta ameweka pedi eti baby nableed. Nikamkomalia nikamwambia nakupiga tg akanywea akatoa kumbe ameweka mitomato sosi kwenye pedi. Asubuhi eti anajidai asante Ila umenisugua vizuri. Huwa tunaweka tomato ili tukilewa wasitusumbue. Ahahahaha
 
hahah ukisikia kukaba hadi penati ndio huko
 
kuna lodge ipo hapo shivers kwa nyuma inaitwaje? kama unelekea kanisani
 
Kwa hiyo unataka kuniambia kuna baadhi ya watanzania ni SHEMALES

kwa hapa tanzania sidhani kama wapo.... maana kwenye taarifa ya habari juzi nimeona kuna shemale wa italia alikuwa anaingia zanzibar karudishwa airport palapele

ila utandawazi unavyoendelea we subiri tu tutaanza kukutana nao club
 
Aisee naomba hiyo hadhaa iniepuke kwa kweli...
 
Mimi sitasahau,kuna guest house niliwahi kulala maeneo ya Ifisi mkoani Mbeya.Wenyewe wameipa hadhi ya Self contained rooms,nililetewa maji ya moto kwenye ndoo.Lakini kilicho niacha hoi ni mhudumu kuniletea kipande cha sabuni ya jamaa iliyyokwisha tumika pamoja na jiwe la kusugulia miguu!daah!
Kisa cha pili ni kulala katika guest moja huko songea.Nikapewa chumba self-contained,choo ndani kwa ndani,lakini choo chenyewe cha shimo(cha kulenga).Naomba kuwasilisha.
Self halafu Choo cha shimo hahahaaa
 
ilikuwa siku moja kabla ya kurudi bongo baada ya wiki nzima ya mishemishe bangkok sasa nikasema lazima nile malaya wa kithailand... kuna red light street moja ipo kama unatoka bangkok nikazama mzee mida kama saa nne usiku nikala bia za kutosha sasa nikicheki hizi malaya kibao wakikuona mgeni wanakumendea

kuna moja hilo lilikuwa lina bonge chura na Boobs za kubust zile nikasema yeeees ndio mambo yangu haya

nikamwita kwa ishara ya mkono akaja baada ya kuongea naye bei akasema kama sina thailand Bhaht basi nimpe USD 40 usiku mzima nikasema haina mbaya ilimradi fantasy yangu itimie

room akasema palepale pub kuna rooms nzuri tu hapo kashaniruhusu nimpapase kifua ila mkono hataki kabisa nipeleke kunako papuchi

basi hao tukaingia room piga romance sana sasa akaanza zile za kizungu.. akanisukuma kitandani alafu akasimama mbele yangu anavua nguo mambo kote yalienda fresh

akabaki na chupi akaniuliza nakumbuka hadi maneno "how would u like it? i take it first or u will take it first or am all yours?" bado nang'aa sharubu nashangaa

akatoa chupi mungu wanguuuu demu ana dudu bhna yani hapo ndio nikakumbuka kuwa bangkok kumejaa wale SHEMALES huku bado nikiwa katika taharuki

akaanza kunambia dont be dissapoited bby there is always a first time in everything

nakumbuka nilimpa hela yake na kutoka mbio pombe zote zimeniisha.. nikamsimulia mwenyeji wangu akanicheka sana.. akasema wenyewe kule wanawaita kayote
Bangkok, Pattaya, Phuket, Chiang Mai. Hapa kuna wale wanaitwa ladyboys na kutofautisha Kati ya girls and boys ni ngumu.
 
Back
Top Bottom