roja24
JF-Expert Member
- Feb 7, 2012
- 634
- 410
Maeneo gani bab maana Niko njiani naenda huko Nisije nikajichanganya!?Hii ya kunguni imenikuta mtwara juzi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Maeneo gani bab maana Niko njiani naenda huko Nisije nikajichanganya!?Hii ya kunguni imenikuta mtwara juzi
Sio visa ni hatari jamani mkifika sehemu chunguzen, mkikurupuka mnahatarisha maisha na rasilimali.Hahaha humu kuna visa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mkuu naogopa kuharibu biashara ya watu ila si mbali na ofc ya mkuu wa mkoaMaeneo gani bab maana Niko njiani naenda huko Nisije nikajichanganya!?
Wa Thailand walitaka kukula mambo[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]cha ajabu sasa vurugu zangu zote bongo sijawahi kutokewa na tukio la ajabu zaidi ya kamchepuko kalikuwa kanaumwa presha ya kushuka nilitoka jasho hyo siki japo aliyekuwa anaumwa ni mwingine
yaani nilikuwa najiona kabisa navyotokea front page magazeti ya udaku... Mkaka Mtanashati Afiwa na Demu lodge
ila kisanga ni nilichokutana nacho bangkok huku kuvamia miji ya watu kubaya sana... ni tukio ambalo sitakuja lisahau pombe zilikata hapohapo
Inaanza na herufi N au !?Mkuu naogopa kuharibu biashara ya watu ila si mbali na ofc ya mkuu wa mkoa
Huyo dada itakuwa ni mimiHapo Dar hata hoteli za bei bado ni balaa, nimewahi kulala kwa moja ila usiku ukawa mrefu kisa miguno ya Dada aliyekua analiwa kwenye chumba jirani.
Nilitegemea wamalize mchezo ndani ya dakika 15 ili nipate amani, ila sijui jemba lilikua limekula nini maana dah nusra wakeshe.
SanaHiii scenario ya pili, Inafurahish.
Naaam kama wimbo wa Hamza KalalaInaanza na herufi N au !?
Duh hili balaaa mbaya zaidi uwe umemtoa mkoani lazima uone Dunia chunguTuendelee na mada mkuu Niilingiaga lodge na demu wa udsm kumbe anapumu katikati ya gemu ikamtokea akazirai nikampigia rafiki yake ikabidi nigharamike initoke 100,000 matibabu plus usafiri
Na huyo njemba ni mimiHuyo dada itakuwa ni mimi
Case closedNa huyo njemba ni mimi
😂😂😂😂Wa Thailand walitaka kukula mambo[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ahahahahah ahahah pole bab Wanaume tunakutana na mengiii ahahahaDaaah, sitasahau nilikula Demu mmoja wa kinywamwezi huko kahama. Niliingia kahama usiku wa saa moja hivi nikapata guest moja humo humo kuna club ma manzi kibao yaani, huku na huku baada ya bia zangu kama sita, nikasema silali pekee yangu leo, basi nikakamata goma moja la haja, jeupe chura wa maana!
Nikala kimoja faster tukarudi mezani kula bia, walipofunga demu likawa lishachangamka na bia, nikabembeleza nikale mzigo tena, likakubali ila kwa mbinde, kutokana na bia zile mzee goli la pili ikawa mbinde, piga na wewe waaapii!
Yule demu alikuwa si mzungumzaji sana ila ni kutabasamu na kuguna tu, hii mara ya pili akawa ni kama anataka kulia muda wote huku ananisukuma shingoni, mzee nikawa nakomaa nimalize, demu akanikaba yaani nilikabwaa!!! Nusu ya kufa, kuja kuuliza vizuri naambiwa lile demu huwa chizi fresh, sometimes linalipuka halisikii la mtu, yaani niliminywa na kucha shingoni, sitasahau!!
Kulgerrrrrr aahahahahahDaaah, sitasahau nilikula Demu mmoja wa kinywamwezi huko kahama. Niliingia kahama usiku wa saa moja hivi nikapata guest moja humo humo kuna club ma manzi kibao yaani, huku na huku baada ya bia zangu kama sita, nikasema silali pekee yangu leo, basi nikakamata goma moja la haja, jeupe chura wa maana!
Nikala kimoja faster tukarudi mezani kula bia, walipofunga demu likawa lishachangamka na bia, nikabembeleza nikale mzigo tena, likakubali ila kwa mbinde, kutokana na bia zile mzee goli la pili ikawa mbinde, piga na wewe waaapii!
Yule demu alikuwa si mzungumzaji sana ila ni kutabasamu na kuguna tu, hii mara ya pili akawa ni kama anataka kulia muda wote huku ananisukuma shingoni, mzee nikawa nakomaa nimalize, demu akanikaba yaani nilikabwaa!!! Nusu ya kufa, kuja kuuliza vizuri naambiwa lile demu huwa chizi fresh, sometimes linalipuka halisikii la mtu, yaani niliminywa na kucha shingoni, sitasahau!!
Kulgerrrrrr aahahahahahView attachment 828662