Waliowahi kupotelewa na ndugu au mtu wa karibu mje mtupe experience

Mwanangu aliwahi potea kwa kuwafata watoto wenzie shule yale masaa 2 nilijiona kabisa kufariki alipatikana akikaribia shule,, ndipo niliona heri afe kwa chochote umzike ila sio kupotea unaweza kuwehuka kabisa

Unakuwa unawaza sijui wanamla nyama sijui wanamtesa sijui wanamfanyaje ,,, nyie nyieee
 
Mimi mwenyewe nimepotea nyumban tangu 2017 hakuna ndugu yangu anayejua nilipo. Kuna siku kwenye mishe zangu nilipata mteja anataka frem ya biashara nikapanga nae aje aangalie sasa nikasave ile namba kuja kuchek whatsap wakat nataka kumtumia picha kumbe ni brother niliifuta na kublock ile namba yake. nilishawahi kuona wamenipost hadi facebookk wananitafuta. Nipo dar lakini hakuna anayejua mkoa nilipo sio ndugu tu hata marafiki
 
Kwanini sasa? Hauoni kama unawatesa? Si ukae mbali lakini wajue tu upo....
 
Mimi mwenyewe nimepotea nyumban tangu 2017 hakuna ndugu yangu anayejua nilipo. Kuna siku kwenye mishe zangu nilipata mteja anataka frem ya biashara nikapanga nae aje aangalie sasa nikasave ile namba kuja kuchek whatsap wakat nataka kumtumia picha kumbe ni brother niliifuta na kublock ile namba yake. nilishawahi kuona wamenipost hadi facebookk wananitafuta. Nipo dar lakini hakuna anayejua mkoa nilipo sio ndugu tu hata marafiki
Umekimbia ndugu na jamaa ili uwe dalali huru sio?
 
Hii mambo simuliwa tu kuna uzi nshawahi kuandika humu kumtafuta blood brother nliyemfata kuzaliwa mwaka wa tano huu unaenda hatujui yuko hai ama la tunamwombea uzima popote alipo maana tushangaika sana
 
Pole sana, hii kitu inaumiza kuliko msiba....pole
 
Mimi mwenyewe nimepotea nyumban tangu 2017 hakuna ndugu yangu anayejua nilipo. Kuna siku kwenye mishe zangu nilipata mteja anataka frem ya biashara nikapanga nae aje aangalie sasa nikasave ile namba kuja kuchek whatsap wakat nataka kumtumia picha kumbe ni brother niliifuta na kublock ile namba yake. nilishawahi kuona wamenipost hadi facebookk wananitafuta. Nipo dar lakini hakuna anayejua mkoa nilipo sio ndugu tu hata marafiki
Tatizo ni nn chief?
 
Back
Top Bottom