Waliowahi kupotelewa na ndugu au mtu wa karibu mje mtupe experience

Waliowahi kupotelewa na ndugu au mtu wa karibu mje mtupe experience

Mwanangu aliwahi potea kwa kuwafata watoto wenzie shule yale masaa 2 nilijiona kabisa kufariki alipatikana akikaribia shule,, ndipo niliona heri afe kwa chochote umzike ila sio kupotea unaweza kuwehuka kabisa

Unakuwa unawaza sijui wanamla nyama sijui wanamtesa sijui wanamfanyaje ,,, nyie nyieee
Pole sana

Mungu ni mwema

Mpe Hi! Uncle wetu
 
Aisee kuna shida ipo ndani msikilizeni. kila mtu anapenda kuwa karibu na ndugu zake ila sasa kuna mambo ya ndani ndio yanafanya mtu unachukua maamuzi magumu
Okay, sie last born wetu ana tabia ya kutoroka toroka home anakaaa hata mwaka huko siku anaibuka anarudi hadi tushazoea nadhani siku akifanya maamuzi ya kusepa hatutashtuka make katuzoesha kuondoka.....ila ni tabia mbaya anamtesa ma
 
Rafki yangu mmoja wa Kibaha mkoani pwani alinieleza namna ambavyo mwaka 2011 dada ake mkubwa alikwenda sokoni na hakurudi mpaka Leo. Waliripoti polisi na redion lakini wapi..
Anasema babaeke amebaki mpweke akikumbuka jambo hili hulia na kuomboleza.

Rafki yangu mwingine wa Mtwara anasema mwaka 2021 Kijiji Chao kilivamiwa na waasi wa Msumbiji.
Kakake alitekwa na hakuwahi kurudi Tena home mpaka Leo.
Inasikitisha na kiuums
 
Mimi mwenyewe nimepotea nyumban tangu 2017 hakuna ndugu yangu anayejua nilipo. Kuna siku kwenye mishe zangu nilipata mteja anataka frem ya biashara nikapanga nae aje aangalie sasa nikasave ile namba kuja kuchek whatsap wakat nataka kumtumia picha kumbe ni brother niliifuta na kublock ile namba yake. nilishawahi kuona wamenipost hadi facebookk wananitafuta. Nipo dar lakini hakuna anayejua mkoa nilipo sio ndugu tu hata marafiki
Kwanin umewachunia
 
Back
Top Bottom