Evelyn Salt
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 70,916
- 141,437
Bebs 😹 na nduguzeNi watu baki lakini tayari wapo kwenye maisha yangu..hawataniacha niishi kwa amani.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bebs 😹 na nduguzeNi watu baki lakini tayari wapo kwenye maisha yangu..hawataniacha niishi kwa amani.
masuala tu ya kifamilia ila nafikiria upya kurudi kumsalimia mama alafu nipoee tena
Unaliwa mkuu 😂😂Binafsi kwenye familia yetu me ndo nilikuwa yule ambae huwa siendi church yani nikienda ni nme vutwa vutwa saana
Sasa iyo siku kulikuwa na maandamano church ya kutembea ka umbali fulani (ekaristi kwa Rc wana ielewa hii siku)
Kwenye ayo maandamano mom alikua ameenda na Mdogo wangu wa mwisho alikua 2 years old sijui ilkuaje ila dogo ni alipotea uko njiani .na wali mtafuta sanaa hadi church waka Tangaza lakini wapi.
Guess what iyo siku kama kawaida yangu sija enda church nipo mtaani natembea na friends ,ghafla jamaa ana nambia uyo mbona kama Mdogo wako .afu dogo na yeye kuniona akaanza kulia uku ana nikimbilia .kumbe baada ya kupotea alkua ame chukuliwa na wamama wana mhoji so nka mchukue dogo tukarudi home ndo kukuta wame changanyikiwa it was a great and sad moment. .. Mwisho story hii niya kutunga.
Samahani, ni mpesa or Mwakapesa?Abraham Mpesa aka stable kilakala morogoro ndio kwao alisoma kigurunyembe sec morogoro ttc na iringa alipotea toka 2012 mpaka leo hajawahi kuonekana.
Huyo atarudi ipo siku, Sisi Baba yetu mdogo alipotea akiwa kijana wa miaka 17 na alirudi nyumbani akiwa mzee wa miaka 70.Kuna jamaa alipotea alikua na mke na watoto...
Mpaka leo hajulikani alipo 20 years aisee...ndugu wamehangaika kila mahali
ilibidi tu mkuu.Kwanin umewachunia
kabisa mkuu hiyo ndio njia sahihiFanya hivyo mkuu...angalau bmkubwa ajue uhai..baada ya hapo
Sepa ukafie mbele huko...😂😂😂
Duuuh akasema alikua wapi sasa miaka yote hiyoHuyo atarudi ipo siku, Sisi Baba yetu mdogo alipotea akiwa kijana wa miaka 17 na alirudi nyumbani akiwa mzee wa miaka 70.
Yuko chimbo anawazoom tu.View attachment 2955878
Mimi hadi leo namtafuta huyo Bwana mdogo anaitwa Joseph Nsabi Jeremiah Gasaya ila naamini yupo ni vile hataki tujue alipo mawasiliano ni 0784908813
na mimi nataka kakaUsijali ndg
Duh mnabaki na maswali mengi sana.Kuna jirani yangu ni askari na ni inspekta wa nyota mbili pia alikuwa mkuu wa kituo alipotea tangu Juni 262020 tulipo vunja ndani kwake tukiwa na polisi wenzake tulikuta kaacha Kila kitu chake kuanzia wallet ikiwa na pesa,simu line zote mbili kadi ya benki vyeti vyote vya shule ila mpaka Leo hajulikani aliko.