Waliowahi kupotelewa na ndugu au mtu wa karibu mje mtupe experience

Waliowahi kupotelewa na ndugu au mtu wa karibu mje mtupe experience

Pole sana, niliwah kupitia changamoto hii kama masaa 4 hivi.... Huwa sipendi kukumbuka, ukichaa niliuona live ni mbaya sana ndugu au mtoto kupotea ghafla. Poleni sana mliwahi au mnaopitia changamoto hii.
Mbaya mno unausikia kabisa utumbo unavyoruka ruka, akili haiezi kuwa sawa sasa ukiwaza mama/ndg wa hao waliopotea jumla walipitia hali gani
 
Ndugu huwa na maneno sana hasa unapokuwa jobless huwa wanaongea maneno mengi sana ya kukudharau na sometimes wazazi nao wanasapoti huo ujinga. Ndyo maana raia kama DALALI MKUU wanaamua kujilipua na kuwapotezea mazima.
Hata bila ujobless watakuandama tu, wakiona kuna Jambo linakufungukia waanze chokochoko, wapo sahihi kupotea ila akamuone mama yake then apotee
 
Bila shaka we ni Nsumba boy. Kama ni hivyo basi ulikuwa form 3 maana kipindi hicho hapakuwa na form 2. Tukio la Nsumba lilikuwa 2010 siku ya uchaguzi mkuu
Hahahaaa, nilikuwa na doubt wakati na mention mwaka, nilijua wahusika mpo humu mtanisahihisha. Ahsante mkuu kwa kunyoosha historia.

Jamaa sijawahi kuisahau sura yake akilini mwangu aisee
 
Niliiona kwenye taarifa ya habari, mama yake nilimuonea huruma sana. Alikuwa ametokea mtera nahisi
Inasikitisha Sana alikuwa mtu Mmoja mpole Sana hatukujua kama ni polisi mpaka siku alilipopotea baada ya askari wenzake kuja na kubomoa kwake na kukuta sale za polisi
 
Back
Top Bottom