Waliowahi kuwa wanene au vibonge, tukutane hapa

Kama huwezi vyote kunywa maji ya moto na limao asbh na jion inasaidia me ndo ninvyofanya hayo mengine yanataka moyo utaanza siku mbili ya tatu umeshaacha
Maji ya moto na yenyewe kama hujazoea siku ya kwanza unaweza ukatapika[emoji23]
 
Cha kushangaza me sio mnene lakini mazoezi sasa [emoji18][emoji18] hata wanene wananishinda siwezi kabisaaa
 
Mi napenda kula jamani, mazoezi siwezi [emoji23]
 
How long did you take to cut weight from 120 kg to 70?
 
Kama huwezi vyote kunywa maji ya moto na limao asbh na jion inasaidia me ndo ninvyofanya hayo mengine yanataka moyo utaanza siku mbili ya tatu umeshaacha
Mazoezi ni kazi
 
Mabia sinywagi kabisaa, Labda kula tuu
Punguza tengeneza Juice usiweke sukari, acha kula mavitu ya dukani Juice, na Kwa Siku Kula wanga asubuhi au mchana, usiku kula mboga za majani tu,, Kilo zako habari sana,, Upo mrefu au mfupi?
 
Punguza tengeneza Juice usiweke sukari, acha kula mavitu ya dukani Juice, na Kwa Siku Kula wanga asubuhi au mchana, usiku kula mboga za majani tu,, Kilo zako habari sana,, Upo mrefu au mfupi?
Nineanza kufanya hivyo nakaribia wiki sasa, Nipo mrefu kiasi
 
Mimi nanenepa saa hizi
Kutoka kg 60
Mpaka 85
Sielewi naelekea wapi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…