Keyboard_Warrior
JF-Expert Member
- Oct 10, 2015
- 6,381
- 11,296
Soko lenye Waarabu!Iran inatumia hoja dhaifu kupiga nchi zingine kijinga jinga. Shabaha zenyewe hawana usikute washalipua Soko lenye waarabu huko...
Tatizo la Iran nadhani wanakunywa Pombe kali za usuri VAT 68 hadi leo hii, so akili zao hata za mjinga zina nafuu.
Israel ainge tu mzigoni aondoshe wajinga wengine waliobakia hii Regime inachosha tu leo wanakubali kesho wanalipua wasio na hatia.
Wapigwe tu in ''Pinda's voice''
Iran wamedai daraja lililovunjwa juzi,silaha iliyotumika kuvunja lile daraja ni ghali zaidi ya kujenga upya lile daraja,na leo gari zimeanza kupita chini ya lile daraja 😃
Yaani wayahudi ndio wawe washia, wewe achana na bangi ya milima usambaa.
Wanajeshi wa usa tayari washaliwa vichwa japo wametangaza wawili sijui 3 na kadhaa wamejeruhiwa hapo number wamepunguza..target unayo ww unayejuwa kucommentIran inatumia hoja dhaifu kupiga nchi zingine kijinga jinga. Shabaha zenyewe hawana usikute washalipua Soko lenye waarabu huko...
Tatizo la Iran nadhani wanakunywa Pombe kali za usuri VAT 68 hadi leo hii, so akili zao hata za mjinga zina nafuu.
Israel ainge tu mzigoni aondoshe wajinga wengine waliobakia hii Regime inachosha tu leo wanakubali kesho wanalipua wasio na hatia.
Wapigwe tu in ''Pinda's voice''
Akishaasafisha hapo israel anakuwa uchi hebu fikiria haya makambi yote ni kuajili ya kuilikda israel .. kwa kutumia early warnig na kuazisha mashambulizi kutokea hapo .. bila hizo kambi usa hawezi kushambulia irani kwa siku zaidi ya 4 maana gharama yake ni kubwa mnoUmeandika utumbo kama kawaida yako 😇👈.
Iranian ndio mwenye Shabahaa kali sana ktk ilo eneo weka akilini mwako ilo!!!
Kufikia sasa safari za Pakistan
Zitaanza upya kuwazuiya Wa Iranian mana anaefata sasa ni Israel mwenyewe!!!💩
Zimepigwa kambi za Marekani kwanzia Syria💥💥
Jordan 💥💥
Qatar💥💥
Oman 💥💥
Saudia 💥💥
Wakurdi wa Iraq 💥💥
Kuwait 💥💥
Bahrain 💥💥
UAE 💥💥
hali ni tete kwa Marekani
Tatizo ni lile lile kushindwa kuzuiya Technology ya Makombora ya Iranian!!
Iranian wapo mbele ya muda.
Kwa bahati mbaya ameyakosa na anaenda kufukuzwa mashariki ya kati .. mtaka vingi kwa pupa hukosa vyoteWabongo wengi hawajui hilo,china pia kwenye mafuta ni mnufaika mkubwa wa iran,trump anachopambana pale waweke mtu wao ili aweze kucontrol mafuta na gesi ya iran kama alivyofanya venezuela,yote kupunguza nguvu za russia na china
Vita sio ngumi kaka. Iran anapitia wakati mgumu sana.Mwananchi wa kawaida ndio anajua. Ni kama Tanzania na takwimu zetu za maendeleo. Mwananchi wa kawaida ndio anayaona ahayo yanayoitwa maendeleo makubwa, wakati akibisha kuhusu ukubwa wa mhogo wa mia mbili na mama ntilie.Kaka Mimi Niko upande wa Iran. Tatizo wanapigwa kama mtoto hadi wananikera.
Kuna jamaa alikwenda kwenye mazishi ya Khamenei, alikuwa anasema watu wa Iran wanakula maisha sana na wanaipenda sana viongozi na nchi yao tofauti na vile sisi tunavyofikiria.Vita sio ngumi kaka. Iran anapitia wakati mgumu sana.Mwananchi wa kawaida ndio anajua. Ni kama Tanzania na takwimu zetu za maendeleo. Mwananchi wa kawaida ndio anayaona ahayo yanayoitwa maendeleo makubwa, wakati akibisha kuhusu ukubwa wa mhogo wa mia mbili na mama ntilie.
Wakubwa Iran wanakula kuku, maini, firigisikama ilivyo kwa wakubwa Marekani. Mwananchi wa kawaida ndio anaskilizia joto ya jiwe.
Iran angeachana na mambo ya Israel, Hamas, Houthi n.k na nuclear weapon akomae kujenga nchi tu. Hao kina Russia na China ni wazushi tu anytime maji yakizidi unga wanakuacha mwenyewe. Hii mijamaa ya Marekani na Ulaya Magharibi iko mbele ya muda sana, wako mwaka 2090, wakati tupo 2026.
Umeandika kama kuku aliyekatwa kichwa!Iran inatumia hoja dhaifu kupiga nchi zingine kijinga jinga. Shabaha zenyewe hawana usikute washalipua Soko lenye waarabu huko...
Tatizo la Iran nadhani wanakunywa Pombe kali za usuri VAT 68 hadi leo hii, so akili zao hata za mjinga zina nafuu.
Israel ainge tu mzigoni aondoshe wajinga wengine waliobakia hii Regime inachosha tu leo wanakubali kesho wanalipua wasio na hatia.
Wapigwe tu in ''Pinda's voice''
yale mazishi ya wanajeshi wa marekani kule marekani yalikuwa ya wauza nyanya sokoni eeeh!!Iran inatumia hoja dhaifu kupiga nchi zingine kijinga jinga. Shabaha zenyewe hawana usikute washalipua Soko lenye waarabu huko...
Tatizo la Iran nadhani wanakunywa Pombe kali za usuri VAT 68 hadi leo hii, so akili zao hata za mjinga zina nafuu.
Israel ainge tu mzigoni aondoshe wajinga wengine waliobakia hii Regime inachosha tu leo wanakubali kesho wanalipua wasio na hatia.
Wapigwe tu in ''Pinda's voice''
Rada zote zimeshaaunguzwa ambazo ziliwekwa na usa kumlinda israel kama first line of defence and early warnig systemUmeandika utumbo kama kawaida yako 😇👈.
Iranian ndio mwenye Shabahaa kali sana ktk ilo eneo weka akilini mwako ilo!!!
Kufikia sasa safari za Pakistan
Zitaanza upya kuwazuiya Wa Iranian mana anaefata sasa ni Israel mwenyewe!!!💩
Zimepigwa kambi za Marekani kwanzia Syria💥💥
Jordan 💥💥
Qatar💥💥
Oman 💥💥
Saudia 💥💥
Wakurdi wa Iraq 💥💥
Kuwait 💥💥
Bahrain 💥💥
UAE 💥💥
hali ni tete kwa Marekani
Tatizo ni lile lile kushindwa kuzuiya Technology ya Makombora ya Iranian!!
Iranian wapo mbele ya muda.
Wamelengwa wakiwa kilometa 900 huko halafu jamaa anadai hawana shabaha aisee hii nimeona hata usa wameshaanza kuogopayale mazishi ya wanajeshi wa marekani kule marekani yalikuwa ya wauza nyanya sokoni eeeh!!
Hivi kwa nini wabongo manakuwa mnajizima data hivyo .. bila hao washirika , logistically hamna jinsi usa ataweza kuendesha vita hapo mashariki ya kati .. akirusha mdege kwa week moja tu kutoka relavive au cipras gharama inaweza fika bill 70 .. kwa hiyo hizo kambi hapo ni mhim sana .. kuendesha vita
Wanapigwa wamarekani wa ME unaumia wewe wa jf 😜Iran inatumia hoja dhaifu kupiga nchi zingine kijinga jinga. Shabaha zenyewe hawana usikute washalipua Soko lenye waarabu huko...
Tatizo la Iran nadhani wanakunywa Pombe kali za usuri VAT 68 hadi leo hii, so akili zao hata za mjinga zina nafuu.
Israel ainge tu mzigoni aondoshe wajinga wengine waliobakia hii Regime inachosha tu leo wanakubali kesho wanalipua wasio na hatia.
Wapigwe tu in ''Pinda's voice''
Endelea kua na akili za kushikiwa hivyo hivyoVita sio ngumi kaka. Iran anapitia wakati mgumu sana.Mwananchi wa kawaida ndio anajua. Ni kama Tanzania na takwimu zetu za maendeleo. Mwananchi wa kawaida ndio anayaona ahayo yanayoitwa maendeleo makubwa, wakati akibisha kuhusu ukubwa wa mhogo wa mia mbili na mama ntilie.
Wakubwa Iran wanakula kuku, maini, firigisikama ilivyo kwa wakubwa Marekani. Mwananchi wa kawaida ndio anaskilizia joto ya jiwe.
Iran angeachana na mambo ya Israel, Hamas, Houthi n.k na nuclear weapon akomae kujenga nchi tu. Hao kina Russia na China ni wazushi tu anytime maji yakizidi unga wanakuacha mwenyewe. Hii mijamaa ya Marekani na Ulaya Magharibi iko mbele ya muda sana, wako mwaka 2090, wakati tupo 2026.
Hawana uwezo zaidi ya huoKinachonikera ni kwamba wanajibu mashambulizi kwa udhaifu sana.
Ila hawajamzidi super glue jwa uwezo wao kuishia padogoHawana uwezo zaidi ya huo