Waluguru wanafukia ufuo wa maiti chumbani

Waluguru wanafukia ufuo wa maiti chumbani

Najaribu kuwaza hilo zoezi la ukamuaji linafanyikaje. Maana mtu akidedi anakuwa kakakamaa...

Mungu apitishe mbali yasinikute mambo haya
Njia ziko nyingi Sheikh

Inayotumika sana ni kumnywesha maji ya moto huku wamatanua tundu lake la kupitisha mavi (Mk*n d*u) ili yatokee kwa chini, huku wakimkamua na mafuta ya karafuu

Hata kama amekakamaa, utumbo haukakamai sheikh na mavi yamoto yanalainisha.

TAKIBIIIIIIIIIIIR..................!!!!!
 
Hapa umejidanganya wewe na kuwadanganya watu, kukafini siyo kumkamua maiti mavi, hili kwanza halipo katika uislamu, kukafini ni kumpamba maiti yaani kumvika Sanda.

Soma hadithi hizi zifuatazo :

Aaishah (Radhwiya Allaahu ‘anhaa) “Alikafiniwa Nabiy (Swalla Allaahu ‘alayhi wa aalihi wa sallam) katika nguo tatu nyeupe, hakuna kanzu wala kilemba katika sanda hizo.” [Imaam Ahmad na Abu Daawuud].

Nyingine ni :

Amesema Mtume wa Allah, amani ya Allah iwe juu yake wakati alipofariki mtu akiwa katika hali ya kuhirimia, “Mkafinini kwa nguo yake” [Al-Bukhaariy na Muslim]

Tunaona kukafini ni kumpamba maiti kwa vazi maalumu nalo ni sanda, yaani kumvika sanda maiti.

Shukrani.
Kwahiyo Invigilator anadanganya?
 
Swali kuna shida gani mfuo kubaki ndani?

Labda niweke hivi, Waluguru wamekopa mila ya kufua baada ya kuinterect na waarabu waislam. Awali maandalizi ya maiti haikuwa hivyo kadhalika uzikaji wake.

Waluguru kama wabantu wengine wanaamini uchawi na baada ya kuona maji ya maiti yanatumika sana kufanyia uchawi, waliona ni kuepuka ni kuzuia mfuo kutoka nje.

Kama umemsoma Mshana Jr mara kadhaa meonesha matumizi ya mfuo.

Ule mfuo hauwezi kutupwa kwenye choo cha kawaida kwa kuwa kwa asili mluguru anaheshimu maiti(Though wanasema maiti ni chafu, ndugu walikuwa hawaruhusiwi kuigusa msiba unashughulikiwa na watani tu, lakini leo kuna tofauti kidogo).

Sasa sijajua wewe unataka mfuo usibaki ndani, unataka mfuo upelekwe wapi? Kwa wanaoheshimu utu wa maiti hadi leo huwa hawaoshi maiti mochwari

Mkoba Mfuko kwa niaba ya waluguru. Na napokeo maswali zaidi.
Kama suala ni maiti kuwa safi, suala la eneo lina tatizo gani? Aidha aoshewe Mochwari au nyumbani
 
Acha uongo.Kama ingekuwa wanafanya hivyo,wangeuguwa maradhi ya mlipuko.Umedanfanywa kwenye vijiwe vya pombe za kienyeji,ukadananyika.
Sasa kama wanaweka kwenye chakula kinachochemka na kukaa jikoni kwa masaa mawili mixed na spices mbalimbali kama viungo vya pilau, karafuu, iliki nk.

Kama ni uji unatiwa ndimu, pilipili manga na ukwaju...UTAJUAJE umekula uharo wa Muguru?
 
Kutoa mavi kwenye maiti. Hii inahitaji mjadala mpana. Yani unamtoa mavi afu unamzika anaenda kuoza na kuliwa na funza...
Unashangaa hilo? Kuna vichaa wananunua suti na jeneza la mamilioni na bado vinaenda kuliwa na mchwa
 
Qumanina zao, hii issue nimeiskia nikiwa bado mdogo sana. Hawa viumbe wa kiarabu na dini yao ya mchongo ni waxenge tu. Kumsafisha maiti ni hadi kumkamua mavi? **** nyie wote mnao amini huo uquma
 
kitu nimemotice Waislam hawajakiri wala kukubali kuelezea juu ya ukamuaji wao

naa naomba kuelezewa fuul procedure ambavyo hufanyika wanapokamua maiti
 
Siku hizi mpo hai mnaishi na mavi yenu vyumbani, tena wazi, kwenye ma self-contain. Si heri hayo ya kukafiniwa yanafukiwa panasakafiwa hakuna kinachobaki.
Kwahiyo bi Faiza na wewe utakamuliwa mavi!! Takbir
 
Mkuu upumbavu bado ni tatizo kubwa sana nchini.

Kwani mtu akifa na akazikwa akiwa na mavi huko mbinguni huyo mungu hataki mavi ama hakuna vyoo vya kunya huko mbinguni?

Je hayo mavi akifa anaenda nayo ama yanafukiwa tu ardhini? Kwa mfano mtu akimezwa na samaki na mavi yake, mungu anafanyaje ama anamkataa kwamba hajakamuliwa mavi? Ama akiliwa na mamba na mavi yake, je mungu anamkataa kwamba hajakamuliwa mavi?

Ama mtu akiungua na moto ama akilipuliwa na bomu akateketea kabisa ama akaenda na maji akafariki na mwili wake usipatikane, je mungu anawafanyaje watu wa hivyo, anawakataa kwamba hawakukamuliwa mavi?

Dini nyingine bwana, halafu unaambiwa hayo maelekezo yamendikwa na mungu ambae inasemekana ana akili na uwezo kuliko binadamu halafu anaandika uharo kama huo.

Dini+mila na desturi za kipumbavu zinaonyesha kabisa huyo mungu nae hana akili kabisa.
Wasichojua hizi dini zinaambata na desturi za makabila yaliozianzisha dini.
 
kitu nimemotice Waislam hawajakiri wala kukubali kuelezea juu ya ukamuaji wao

naa naomba kuelezewa fuul procedure ambavyo hufanyika wanapokamua maiti
Uzushi kama uzushi mwingine,
 
Mi mwenyewe nlisimuliwaga hivo nakinachochanganywa kwenye msosi sio mafi..ila niyale maji ya maiti yanachanganywa kwenye msosi wanasema nisunn cjuinn na nn. ..

Nilisimuliwaga tu cjui niukweli au lakini ulemsosi wamsiba nimtamu balaa shekhe wangu
 
Aaaah mkuu [emoji849][emoji849] bt why ichanganyiwe kwenye chakula cha wengine, si wachanganyie kwao ili wapate hizo faida zake wao
Ili wapate thawabu kwa kuwashirikisha nyote katika ibada hii takatifu kwao.
 
Back
Top Bottom