Waluguru wanafukia ufuo wa maiti chumbani

Waluguru wanafukia ufuo wa maiti chumbani

Nyumba zoote za zamani watu walijenga na kuacha chumba kimoja bila kuweka sementi wala zege ilikuwa maalum kwa ajili ya kuoshea maiti.Hasa nyumba za waislam. Baadae yakaja mabeseni ya mapipa marefu sana ili kukingia maji ya kuoshea maiti. Zamani nyumba za wailslmu lazima ukute na kitanda cha kamba.Huo ndiyo utaratibu wetu na dini yetu.Sema weee hujui ndiyo maaana imekushangaza.
 
Hakuna binadamu anae kuja duniani pasina kinyesi tumboni.
Mtoto akiwa tumbon hali wala hapumui ivo hana kinyesi. Huishi kwa kutegemea mzunguko wa damu wa mama ambao humpa chakula (nutrients) na hewa(oxygen) pia kuondoa wastes vitu ambavo viko in molecular form kupitia umbrical cord au kitovu hivo haiwez tengneza kinyes ata cku moja pia kwa kukuongezea mtoto anahitaj kulia anapzaliwa ili kuboost mapafu yake kwakua yalikua inactive akiw tumbon sababu mle hapumui
 
Hakuna binadamu anae kuja duniani pasina kinyesi tumboni.
Nmekupa tu elimu mkuu japo mi sisapoti mambo ya kukamua haja kubwa maiti sioni umuhimu wa ilo otherwise dead body ina tatizo litalohtaj kufanyike ivo kutokana na type ya death
 
Ndio maana tunaona kuna walakini kwenye vichwa vyenu yaani unataka tuamini kuzikwa bila jeneza au na jeneza kunakupeleka mbinguni? Hizo ni taratibu za kibinadamu tu.Waarabu wamewafanya muamini hata katika mambo ya hovyo!
Nakuunga mkono mkuu hapa ndo tatizo la wenzetu lilipo hawatumii logic wanais imani ni kufuata kila walilofanya waliowaletea ndo itawapeleka mbinguni uku wakiwa wanajitoa muhanga kuua wengine. Na pia kwa ufaam wangu hua binadam mioyoni tunweza kili kua apa nakosea lakin huwa hatupend kuweka kukiri pale tutapokosolewa kwa kua tutaonekana kana kwamba hatuna akili. Tukiyaweza haya nadhan maisha yatakua mepesi sana
 
Sasa ndo unapaswa kukiacha ili ukienda kupewa mabikra 70 uwe msafi yaani hata ushuzi unauacha duniani usije ukawatess mabebez na makande yako ya duniYani
Ivi dini ya haki haijazungumzia kwa upande wa wanawake waliotenda mema duniani kukuta miamba rijali 70 inawasubiri?
 
Wana mtindo mmoja na Wazigua. Sema wazigua ufuo wa mwisho huwa wanakinga wanachanganya na maji ya kupikia chakula cha msibani. Ukienda msiba wa Wazigua ukila chakula ujue umekunywa uharo wa maiti

Wanasema ni kujenga ushirika wa kudumu na mpendwa wao. Mimi sioni tatio. shida ni kwamba, kwanini wawalishe wahudhuriaji wote?! Walipaswa kula peke yao kama ndugu wa marehemu.
Ptuuuuuuh...!
 
Ulikuja bila mavi
Utaondoka bila.mavi.

Unaacha kila kitu duniani, unaondoka super empty
IPATE HII:

Mtu ni Mwili, Roho na Nafsi

Mungu alimzawadia Binadamu mwili kwaajili tu ya kuihifadhi Nafsi yake. Mwili ni kama body yu ya gari inayohifadhi Injini

MUNGU hatahukumu mwili huu, Mungu atakuhukumu wewe (NAFSI)

Huu mwili ni mavumbi tu na utaishia kuwa mavumbi tu.

Uzikwe na mavi (uchafu) wako au usizikwe nao HAIJALISHI

Muhimu sana ni utakufa katika hali gani kiroho/Nafsi?

Uhusiano wako na Mungu utakuwaje wakati unakata roho?

Uhusiano wako na binadamu wengine ulikuaje?

Tuachane na mambo ya mwili huu unaoharibika na baadae kuwa mavumbi
 
Mtoa mada acha uzwazwa, mtu kuoshwa ni taratibu ya lazima kwa muislam yoyote atayekufa na maiti yake kupatikana. Kuna heshima ya kumtendea marehemu haswa akiwa alikua na nyumba yake mwenyewe ambayo moja wapo ni kuoshewa nyumbani kwake nai inapendeza wakati kumuosha kama ni nyumbani lichimbwe shimo ili maji yatoyotokana na kuosha yaingie na kuyafukia kazi inapomalizika iwapoitashindikana basi unawekwa mchanga mfano wa beseni kuzunguka sehemu anayooshewa kisha wanafukia na kuzoa ule mchanga.

Sasa kama mtu nyumba ni yako kuna ubaya gani mtu ananyumba yake amefia nyumbani watu wakachimba shimo ili kutimiza sharti la marehemu kuoshwa!? Tena wengine huwa wanaandaa kabisa sehemu ambayo itafanyika hiyo shughuri.

Masharti ya uislam kwa mtu mwenye imani ya kiislam akifa ni Kuosha, kuvishwa sanda, kusaliwa na Kuzikwa. Katika kuosha ndio kuna kitendo cha kukafini ili kuondoa uchafu uliopo tumboni na sio lazima uchafu utoke ila kuoshwa ni lazima.

Sio vizuri kupotosha kitu ambacho hauna elimu nacho kama wewe ni mpenda nasaba basi usiwapangie watu namna ya kuagana na wapendwa wao kwa vile wewe unaogopa chumba alichooshewa marehemu.
[emoji23]
 
Ushaambiwa mavi lazima yabaki. Usichoelewa nn? Kama huelew kausha mbona mnakula Nguruwe watu wamekausha tu
[emoji23]
images%20(4).jpg
 
Mkuu niamini mimi waisalamu wanakamua uchafu maiti wala hili halihitaji mjadala na hata ukitaka vitabu vyao vya dini vimeruhusu jambo hili kimojawapo kinaitwa MKWELI MWAMINIFU - JUZUU YA PILI.

Kinasema " anayemuosha maiti sharti amkamue hadi utoke uchafu wote tumboni mwake"

Huyo anayebisha aje hapa akanushe,ni hadithi sahihi za mtume.
@mgen hajui hili
 
Back
Top Bottom