Waluguru wanafukia ufuo wa maiti chumbani

Mtu amefia nyumbani kwake tena chumbani kwake anapolala na mke wake.
Sasa kwakuwa marehemu ni muislam wameamua kupitia mila ya waluguru kumuosha mwili wake mulemule chumbani.
Siku hizi mpo hai mnaishi na mavi yenu vyumbani, tena wazi, kwenye ma self-contain. Si heri hayo ya kukafiniwa yanafukiwa panasakafiwa hakuna kinachobaki.
 
Duh... kumbe Mleta hoja kasema ukweli. Mi nilidhani anatania..

Kwahiyo hayo mavi wanayatoaje?
Huu Uzi umejaa upotoshaji. Kwanza Kukafini ni kumvisha Sanda maiti. Lakin pia kwenye uislam hakuna hiyo mnaita kumkamua maiti mavi
 
Sasa mgonjwa hajala 3days,hayo mnayotaja mavi yanatokana na dawa?
 
Hayo yote ni mafunzo kutoka kwa mjinga mmoja ambaye hakujua kusoma wala kuandika, akapata wafuasi akawahadaa mpaka leo hii bado wameshikilia mafundisho ya mjinga.
Mkuu huwezi kua na akili timamu ukawa mfuasi wa huyo jamaa. Ukisoma alichokiandika halafu ukaambiwa eti alishushiwa kutoka kwa mungu unaweza kulia.
 
Leo ndo nimeelewa kwanini wanashauri watu au watoto wasome elimu ya dunia na akhera ili mtu atapofiwa na mzazi au ndugu amsafishe na amfichie aibu ndugu yake mleta mada ungekuwa unaundugu wa karibu sana na marehemu usingekuja kuanika yalotendeka msibani.
 
Yani kuna vitu huwa haviningii akilini kabisa ... mimi na amini mtu akifa ndo imeisha hiyooo ....hizo zingine zote ni mbwe mbwe tu
 
Yani kuna vitu huwa haviningii akilini kabisa ... mimi na amini mtu akifa ndo imeisha hiyooo ....hizo zingine zote ni mbwe mbwe tu
Ushaambiwa mavi lazima yabaki. Usichoelewa nn? Kama huelew kausha mbona mnakula Nguruwe watu wamekausha tu
 
Nifafanulie vizuri mkuu wangu. Maana wanayoyasema wadau hapa hata mimi nahisi wanaongeza chumvi
Mkuu niamini mimi waisalamu wanakamua uchafu maiti wala hili halihitaji mjadala na hata ukitaka vitabu vyao vya dini vimeruhusu jambo hili kimojawapo kinaitwa MKWELI MWAMINIFU - JUZUU YA PILI.

Kinasema " anayemuosha maiti sharti amkamue hadi utoke uchafu wote tumboni mwake"

Huyo anayebisha aje hapa akanushe,ni hadithi sahihi za mtume.
 
Sasa ndio chumbani kweli vipi kuhusu magonjwa kweli africa ni bara la giza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…