Waluguru wanafukia ufuo wa maiti chumbani

Waluguru wanafukia ufuo wa maiti chumbani

Mie naona labda ni mila

Hapa jirani,baba mwenye nyumba alivyofariki walimuoshea ndani,tena hicho chomba walkitindua kabisa,,na yale maji walinawishwa usoni wafiwa wote.na kabla ya gari iliyobeba jeneza kuondoka yale maji yanamwagwa barabarani. ,,niliuliza kwanini mnatumia hayo maji kunawishwa usoni??.......wakaseme eti wakinawishwa yale maji wanakuwa hawaogopi.

Huu ulikuwa msiba wa KIKRISTO.

Nyie endeleeni kukariri,

Sent using Jamii Forums mobile app
Mila za kishenzi hizo
 
Dini Nizawatu Wenye Akili Kuja Kuwaibia Wapumbavu

Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
Dini ziko sawasawa,ila wewe unadanganywa,ukadanganyika.Ukiambiwa uongo,unakubali kuwa yapo kwenye dini.Mwenye akili yake,anajuwa wazi,haiwezekani,kinyesi kutiwa kwenye chakula,kama ingekuwa kinawekwa kwenye chakula,maradhi ya milipuko yasingecheza mbali.Na pia kungekuwa na kesi,mahakamani,za waliochanganya chakula na kinyesi.
 
Kuna dini zina ujinga na upumbavu mkubwa
Unadanganywa na kudanganyika.Hakuna chakula kinachochanganywa na kinyesi.Ni ujinga wa hali ya juu,kuamini hilo.Kama ingekuwa hivyo,basi eneo hilo,maradhi ya mlipuko,yasingecheza mbali.Na wahusika wa afya,wasingekubaliana nalo,wangekuwa wameshafikishwa kwenye vyombo vya sheria.Mjinga,huamini,kila analoambiwa.
 
Akili yako ni sawa na ya mungu wako.

Wewe mtu yoyote anaeponda dini yenu na mungu wenu wa qiquma lazima awe mkiristo?

Huwezi kua na akili timamu ukawa mfuasi wa huyo mungu.
Hapo ndio unajidhihirisha ni mkristo,usiye ujuwa ukristo,majibu ya kikristo,yanaonekana.Mkristo anayejuwa ukristo,hawezi kujibu ulivyojibu.
 
Siyo hilo kabila tu, sema wote wanafanya hivyo ila mambo hayo wakati mwingine yanakuwa kimya kimya tu.

Kibaya zaidi ni matumizi ya hayo maji na waste products zake.
Mjinga huamini kila analoambiwa.Tumia akili,hakuna mahali kokote,kinyesi kinachanganywa na chakula.Kama ingekuwa hivyo maradhi yalimpuko yangekuwepo,na yasingechaguwa dini,maradhi yakiingia,hachagui dini,kabila,rangi,msomi,mjinga,na yoyote aliyepo sehemu husika.
 
Kweli siwezi kuamini,haiwezekani eti kinyesi kuchanganywa kwwnye chakula,

Coz mwenyewe napenda sana kupika msibani,sijawahi kuona hivyo,

Maneno ya watu tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ni mjinga peke yake anaweza kudanganywa hilo.Lazima mtu,ukiambiwa kitu,utafakari kwanza,kama ingekuwa chakula kinatiwa kinyesi,unafikiri maradhi ya mlipuko,yangekosekana.Na halafu kuna mabibi afya na mwabana afya,kila kata,wataacha uchafu huo ufanyike.Lazima ungesikia kesi za wanaohusika kufanya hivyo,kugikishwa kwenye vyombo vya sheria,na chakula kupelekwa kwa mkemia mkuu,kupimwa.
 
Mie naona labda ni mila

Hapa jirani,baba mwenye nyumba alivyofariki walimuoshea ndani,tena hicho chomba walkitindua kabisa,,na yale maji walinawishwa usoni wafiwa wote.na kabla ya gari iliyobeba jeneza kuondoka yale maji yanamwagwa barabarani. ,,niliuliza kwanini mnatumia hayo maji kunawishwa usoni??.......wakaseme eti wakinawishwa yale maji wanakuwa hawaogopi.

Huu ulikuwa msiba wa KIKRISTO.

Nyie endeleeni kukariri,

Sent using Jamii Forums mobile app
Umeweza kuwafahamisha,kama wakristo pia wanaoshwa.Na hata asiye na dini anaoshwa.Ile ni heshima kwa maiti,ili awe msafi mbele za waliohudhuria msibani.
 
Ni mjinga peke yake anaweza kudanganywa hilo.Lazima mtu,ukiambiwa kitu,utafakari kwanza,kama ingekuwa chakula kinatiwa kinyesi,unafikiri maradhi ya mlipuko,yangekosekana.Na halafu kuna mabibi afya na mwabana afya,kila kata,wataacha uchafu huo ufanyike.Lazima ungesikia kesi za wanaohusika kufanya hivyo,kugikishwa kwenye vyombo vya sheria,na chakula kupelekwa kwa mkemia mkuu,kupimwa.
Wabongo utawaweza??

Mbongo mpe picha tu.....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni wajinga,ndio wanaweza kuamini,kuwa chakula kinachanganywa na kinyesi.Kama ingekuwa hivyo,maradhi yamlipuko yasingeisha,na mahospital wangejazana wagonjwa wa jamii hiyo na dini hiyo tu,dini nyingine wasingeumwa,na wasio na dini pia wasingeumwa
Ni kweli,,,yaani baadhi ya waja wapo kukaririsha watu uwongo tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom