bitimkongwe
JF-Expert Member
- Oct 21, 2009
- 7,794
- 7,551
Haya mengine ni ya kutunga tu na kuharibia mila za watu.Mbona
Mbona vyakula vinapikwa kwa uwazi? Hizo mixa wanaweka muda gani?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haya mengine ni ya kutunga tu na kuharibia mila za watu.Mbona
Mbona vyakula vinapikwa kwa uwazi? Hizo mixa wanaweka muda gani?
Seriously watu huwa tunajisahau na uzima wa kuazimaHiko ni kiburi cha uzima.
Unaamua kuropoka tu kwa sababu uko na pumzi full tank.
Usiwe na kiburi cha uzima we punda
😂 😂 😂 😂Kumbe Waluguru wanapenda sana mavi
Na sio warugulu wote wanafanya hvyo,mfano wale wa upande wa Mgeta ambako ukristo ndio umeshamiri zaidi sidhani kama wanafanya hivyo,hivyo hiyo inawezekana sio mila halisi ya kirugulu na ndio maana wa upande huo hawamtendei marehemu wao hivyoNdio utaratibu wa kiislamu unaposikia kuosha maiti.
Utaratibu wa kiluguru kabla ya kuinteract na waarabu haukuwa na maswala ya kukamua. Na maiti ilikuwa inakunjwa kama anavyokaa mtoto kwenye mfuko wa uzazi
Mkuu acha ujinga acha kuchafua kabila mbweha mmoja Wazigua wa wapi wanafanya huo ujinga😬😬Wana mtindo mmoja na Wazigua. Sema wazigua ufuo wa mwisho huwa wanakinga wanachanganya na maji ya kupikia chakula cha msibani. Ukienda msiba wa Wazigua ukila chakula ujue umekunywa uharo wa maiti
Wanasema ni kujenga ushirika wa kudumu na mpendwa wao. Mimi sioni tatio. shida ni kwamba, kwanini wawalishe wahudhuriaji wote?! Walipaswa kula peke yao kama ndugu wa marehemu.
😂😂😂Tena usithubutu kunywa kale kauji kao. Hakyamama huwezi jua unakula kinyesi cha marehemu
Hizi story ziishie hapa bana mida ya lunch hiiKweli siwezi kuamini,haiwezekani eti kinyesi kuchanganywa kwwnye chakula,
Coz mwenyewe napenda sana kupika msibani,sijawahi kuona hivyo,
Maneno ya watu tu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wa wilaya za Handeni na Kilindi. Alafu nimeona kwa macho, siyo storyMkuu acha ujinga acha kuchafua kabila mbweha mmoja Wazigua wa wapi wanafanya huo ujinga😬😬
Kwani akifa binti anakamuliwa na wanaume,sio na wanawake wenzake?Na washuhudiaji wengi wanakuwepo pale binti akioshwa bora ungesema hata ni vijana kwa sababu nchi hii ina vijana wa hovyo ni wababa na familia zao wengine wanadindisha wakitoka hapo wanaadithiana
Na huu ni ukweli sisingizii mtu
Ipi ambayo haina shimo la choo, sijapata kuiona mimi, ukiwa self contain unakunya sakafuni?Kuna self
Kuna self_container ambayo ndani ni choo cha shimo!?
😂 😂 😂 😂Hapo ndipo utakapojua nguvu ya mavi
Itabidi umpe maviInakuwaje kama marehemu hana mavi siku hiyo?
Hawa watu waliletewa dini wakmeza namazingira ya didni yasiyoendana na mazingira yao:Mkuu upumbavu bado ni tatizo kubwa sana nchini.
Kwani mtu akifa na akazikwa akiwa na mavi huko mbinguni huyo mungu hataki mavi ama hakuna vyoo vya kunya huko mbinguni?
Je hayo mavi akifa anaenda nayo ama yanafukiwa tu ardhini? Kwa mfano mtu akimezwa na samaki na mavi yake, mungu anafanyaje ama anamkataa kwamba hajakamuliwa mavi? Ama akiliwa na mamba na mavi yake, je mungu anamkataa kwamba hajakamuliwa mavi?
Ama mtu akiungua na moto ama akilipuliwa na bomu akateketea kabisa ama akaenda na maji akafariki na mwili wake usipatikane, je mungu anawafanyaje watu wa hivyo, anawakataa kwamba hawakukamuliwa mavi?
Dini nyingine bwana, halafu unaambiwa hayo maelekezo yamendikwa na mungu ambae inasemekana ana akili na uwezo kuliko binadamu halafu anaandika uharo kama huo.
Dini+mila na desturi za kipumbavu zinaonyesha kabisa huyo mungu nae hana akili kabisa.
Wote hatumjui MUNGU lakini wewe Amin tu kuwa yupoMkuu upumbavu bado ni tatizo kubwa sana nchini.
Kwani mtu akifa na akazikwa akiwa na mavi huko mbinguni huyo mungu hataki mavi ama hakuna vyoo vya kunya huko mbinguni?
Je hayo mavi akifa anaenda nayo ama yanafukiwa tu ardhini? Kwa mfano mtu akimezwa na samaki na mavi yake, mungu anafanyaje ama anamkataa kwamba hajakamuliwa mavi? Ama akiliwa na mamba na mavi yake, je mungu anamkataa kwamba hajakamuliwa mavi?
Ama mtu akiungua na moto ama akilipuliwa na bomu akateketea kabisa ama akaenda na maji akafariki na mwili wake usipatikane, je mungu anawafanyaje watu wa hivyo, anawakataa kwamba hawakukamuliwa mavi?
Dini nyingine bwana, halafu unaambiwa hayo maelekezo yamendikwa na mungu ambae inasemekana ana akili na uwezo kuliko binadamu halafu anaandika uharo kama huo.
Dini+mila na desturi za kipumbavu zinaonyesha kabisa huyo mungu nae hana akili kabisa.
Ukisha_flush yale mavi yanaendelea kuwepo mule chooni chumbani!?Ipi ambayo haina shimo la choo, sijapata kuiona mimi, ukiwa self contain unakunya sakafuni?
Hahahahaha, na kabla ya ku flush na maji yenyewe haya DAWASA au kwenu wapi wewe?Ukisha_flush yale mavi yanaendelea kuwepo mule chooni chumbani!?