Wamachinga wauza Juice Karume Ilala

Yaani mimi huyo kaka namjua ni mkaka flan hv anauzaga juisi ameweka jaba la juisi kwenye mkokoten hyo siku napita alinichangamkia as if ananijua kwamba tumetoka mbali, nikawa ananiambia walau nipooze kiu na juis kidogo nikamwambia sijskii kunywa juis huku moyon nikijiuliza kwamba nishawah kumuona wapi?akaniforce ninywe et baadae ananambia nichangie nikagoma kutoa buku mara et toa jero nikamgomea nikamwambia mm siwez kulipia maana sijaomba kunywa juis hee akakasrika nikaondoka zangu
 
Kuna mwana huwa anavaa cap mara nyingi nyeupe yupo karibu na geti la kwanza kuingia tbl napita nikaona wana wanakunywa juice nikauliza bei akasema 500 nikanywa ikaisha baadae anasema nimlipe buku eti nimekula na cake dah na alikaza kweli nikamlipa kwa unyonge
 
Ndio huyo huyo πŸ˜‚
 
Atakuwa huyo huyo jamaa. Mwem am a hivi huwa anavaa kofia kepu. πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Aisee 'cheza na kitu nyingine yoyote lakini sio tz' in ndugai's voice
 
Ngoja wikendi hii nikajionee mji na mimi.
Au jamaa wikendi hawapo.
 
Njoo Zanzibar hudaiwi hata jero ukikubali vya bure.
Nimeishi hapo Zanzibar halafu hizo tabia mnazo Sema hazipo ni maneno tu ya Wahuni wa Mitandaoni πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Wafanya biashara wengi ni kawida yao happ me kila nikipita lazima iwe hvyo, Wanaanza kukuita kama wanakujua.
 
Nimepitia hiyo kitu ila kwa mimi Introvert sijuani na watu wengi huwa nasanuka mapema kwamba huyu anavutia biashara yake. Mjini bwana [emoji16][emoji16][emoji16]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…