Binadamu Mtakatifu
JF-Expert Member
- Jan 6, 2021
- 4,226
- 8,879
Umenikumbusha kuna mmoja wa karanga fala sana alijikuta bubu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unaaanzaje kunywa Juice au Maziwa Mtindi mtaaaani mkuu. Magonjwa ya Typhoid nk hayawezi kukuacha salama kamwe jiangalie sana
Ndio huyo huyo 😂Kuna mwana huwa anavaa cap mara nyingi nyeupe yupo karibu na geti la kwanza kuingia tbl napita nikaona wana wanakunywa juice nikauliza bei akasema 500 nikanywa ikaisha baadae anasema nimlipe buku eti nimekula na cake dah na alikaza kweli nikamlipa kwa unyonge
Atakuwa huyo huyo jamaa. Mwem am a hivi huwa anavaa kofia kepu. 😂😂😂Yaani mimi huyo kaka namjua ni mkaka flan hv anauzaga juisi ameweka jaba la juisi kwenye mkokoten hyo siku napita alinichangamkia as if ananijua kwamba tumetoka mbali, nikawa ananiambia walau nipooze kiu na juis kidogo nikamwambia sijskii kunywa juis huku moyon nikijiuliza kwamba nishawah kumuona wapi?akaniforce ninywe et baadae ananambia nichangie nikagoma kutoa buku mara et toa jero nikamgomea nikamwambia mm siwez kulipia maana sijaomba kunywa juis hee akakasrika nikaondoka zangu
Ni huyo huyoAtakuwa huyo huyo jamaa. Mwem am a hivi huwa anavaa kofia kepu. [emoji23][emoji23][emoji23]
Haifai kucheka[emoji23][emoji23][emoji23]
Njoo Zanzibar hudaiwi hata jero ukikubali vya bure.Jamaa yuko Barabarani na wenzake alivyonidaka na kunichangamkia nilidhani ni mtu tunafahamiana.
Wanataka uwalipe fadhira.Njoo Zanzibar hudaiwi hata jero ukikubali vya bure.