Wamachinga wauza Juice Karume Ilala

Wamachinga wauza Juice Karume Ilala

Hahaha mimi nikajua pekeangu kumbe ... Jamaa mchangamfu sana , sema mimi aliingia kwa gia ya sikuhizi ameacha udereva bodaboda , namimi kichwani ni kweli mtumiaji mzuri tu wa usafiri huo.. [emoji1787][emoji1787]
 
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28] nimecheka Sana. Kuna siku natoka zangu k.koo naelekea Karume, nipo na mshua. Kufika maeneo ya breweries, karibia na getini, Kuna jamaa akamuita mshua, kwa style kama yako. Nakuja kugeuka nyuma, nashangaa mshua kasimama anaongea na jamaa. Jamaa anamuuliza habari ya siku nyingi mzee? Kitambo Sana sikuoni, vipi ishu zako bado ni zile zile? Hapo mshua ashapokea juice anakunywa [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]. Ikabidi nikalipia ile juice alaf nikamwambia mshua tuamshe, maana mm nawajua nishawazoea. Tumefika mbele, namuuliza mshua kama anamfahamu yule jamaa, father ananiambia "Sura yake sio ngeni, sijui hata nilimuona wapi maana navuta kumbukumbu haziji* [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]. Nikacheka Sana hadi mshua akaniuliza kama namjua yule jamaa. Nilivyomuelezea alicheka Sana
 
Hii ishu nimekutana nayo mwezi January mwaka huu. Kwakweli hata mimi alinishtua sana.😁😁😁 Eti "mbona siku hizi huonekani tena mtaani?" Umetususa wanao, huku napewa juice! Mwanzo nilikasirika sana. Sababu huwa sipendi kughasiwa nikiwa kwenye mishe zangu. Ila nilipokuja kugundua lengo lake, nikajikuta nacheka. Ila hawakunipata tena.😀😀
 
Hahaha mimi nikajua pekeangu kumbe ... Jamaa mchangamfu sana , sema mimi aliingia kwa gia ya sikuhizi ameacha udereva bodaboda , namimi kichwani ni kweli mtumiaji mzuri tu wa usafiri huo.. [emoji1787][emoji1787]
Hahaha hata mimi alinambia kaacha udereva wa bodaboda nyie duuh[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28] nimecheka Sana. Kuna siku natoka zangu k.koo naelekea Karume, nipo na mshua. Kufika maeneo ya breweries, karibia na getini, Kuna jamaa akamuita mshua, kwa style kama yako. Nakuja kugeuka nyuma, nashangaa mshua kasimama anaongea na jamaa. Jamaa anamuuliza habari ya siku nyingi mzee? Kitambo Sana sikuoni, vipi ishu zako bado ni zile zile? Hapo mshua ashapokea juice anakunywa [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]. Ikabidi nikalipia ile juice alaf nikamwambia mshua tuamshe, maana mm nawajua nishawazoea. Tumefika mbele, namuuliza mshua kama anamfahamu yule jamaa, father ananiambia "Sura yake sio ngeni, sijui hata nilimuona wapi maana navuta kumbukumbu haziji* [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]. Nikacheka Sana hadi mshua akaniuliza kama namjua yule jamaa. Nilivyomuelezea alicheka Sana
Hahaha[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Hii ishu nimekutana nayo mwezi January mwaka huu. Kwakweli hata mimi alinishtua sana.[emoji16][emoji16][emoji16] Eti "mbona siku hizi huonekani tena mtaani?" Umetususa wanao, huku napewa juice! Mwanzo nilikasirika sana. Sababu huwa sipendi kughasiwa nikiwa kwenye mishe zangu. Ila nilipokuja kugundua lengo lake, nikajikuta nacheka. Ila hawakunipata tena.[emoji3][emoji3]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Kuna kitu unakitafuta endelea kula vya watu burebure ukijifanya ulisoma nao songea.
 
Siwezi kununua zile juice zao, unafikiri ni kweli wanaenda kununua matunda kila siku na kublend?

Naona wachafu wachafu tu
 
Watu wanakunywa na hawapati hayo magojwa.

Ingekua wanaokula na kunywa mtaani wanaugua basi hospitali zingekua zimejaa watu.
Una uhakija hawapati hayo magonjwa ya Typhoid na Amoeba?

Umeenda kuuliza kwenye hospitali za maeneo hayo karibu na Karume?
 
Hivi jamani Kuna mtu ameshawahi kupita maeneo ya Karume sokoni opposite na TFF akakutana na wale jamaa wanaouza Juice?
Yaani jamaa wale ni wajinga sana Kuna siku nimepita pale kwa mguu jamaa muuza juice akanichangamkia as if ananijua ananiongelesha Mambo vipi we jamaa? Habari za siku nyingi? Kitambo sana we jamaa upo?

Huku ananipimia juice ananiambia karibu sana mwanangu, nikiwa Sina hili na lile nikanywa Funda la kwanza, la pili mpaka la tatu huku navuta kumbukumbu huyu jamaa ni wapi Songea au Azania nilisoma nae? Nikawa sipati majibu. Jamaa akawa ameshawadaka wengine kwa mtindo huo huo. Nimekunywa imebaki robo glass namrudishia glass akaniambia buku tu. Ndio akili ikarudi nikajua kumbe hawa jamaa ndio ishu yao kufosi?

Nikamwambia nina jero akawa ananikomalia nikamwambia sikuuliza bei na wewe ukawa umeshanikaribisha . Chukua hii jero. Kuna mtu wa hapa Dar au aliyewahi kupita maeneo Yale ikamtokea hii ishu?? 😂😂😂😂
Nimecheka sana sana 😂😂
Karibuni mjini waporipori...🤣🤣🤣
Wa mikoani hawataelewa stori yako.......
I miss Dar......
 
Sisi wabongo ni wakarimu hadi tunakuwaga ma zuzu sometimes.
Ivi unashindwaje hata kuuliza bro unanijua?
Unapimiwa tu nakuanza kunywa comeeen..
Nami nimeshangaa sana kuhusu hili mkuu. Humu JF kweli tupo watu wa aina mbalimbali.
 
Yalinikuta siku moja,

Kuna mshikaji tuko nae Job, mdogo wake alikua anakujaga siku moja moja pale Job, sikua nimemkariri sana sura sababu aeza kuja labda mara moja Kwa mwaka.

Basi bana siku moja nikapita hapo karume kutafuta viatu vya madogo nikaitwa, oya broo, kugeuka nikakutana na mshikaji akaanza hizo salamu zao Kwa furaha kabisa. Basi kijuu juu nkajua ndo yule jamaa ambae kaka yake tuko nae job. Za masiku, mbona huji tena pale Kwa bro wako, kitambo no see, etc.

Nikamuuliza kwani toka kipindi kile anakuja pale job alikua anapiga hizi mishe za juice? Maana bro wake alisema yuko Chuo, akajibu mishe kaanza juzi kati sababu kamaliza chuo kazi hakuna. Nkasema sababu kaka yake yuko poa tu ngoja nimpoze dogo hata na chenji, nkampa 5,000/- chenji abaki nayo.

Hiyo siku ilikua weekend, so Monday nkaenda Job nkamuuliza mshikaji dogo vipi, akasema dogo hayuko tena Dar, alipataga kazi Arusha. Nkamsimulia kuhusu mkasa was jana yake pale karume, akasema sio kweli na akampigia dogo WhatsApp video kweli hakua Yeye na dogo kweli alikua ofisin nkajua nishapigwa hapa.

After a month nkaenda tena maeneo yale sikumuona yule jamaa.
 
Back
Top Bottom