Hismastersvoice
JF-Expert Member
- Jan 26, 2013
- 21,741
- 26,735
Acha uroho utakuja nyweshwa sumu ya kunguni.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahaha hata mimi alinambia kaacha udereva wa bodaboda nyie duuh[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hahaha mimi nikajua pekeangu kumbe ... Jamaa mchangamfu sana , sema mimi aliingia kwa gia ya sikuhizi ameacha udereva bodaboda , namimi kichwani ni kweli mtumiaji mzuri tu wa usafiri huo.. [emoji1787][emoji1787]
Hahaha[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28] nimecheka Sana. Kuna siku natoka zangu k.koo naelekea Karume, nipo na mshua. Kufika maeneo ya breweries, karibia na getini, Kuna jamaa akamuita mshua, kwa style kama yako. Nakuja kugeuka nyuma, nashangaa mshua kasimama anaongea na jamaa. Jamaa anamuuliza habari ya siku nyingi mzee? Kitambo Sana sikuoni, vipi ishu zako bado ni zile zile? Hapo mshua ashapokea juice anakunywa [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]. Ikabidi nikalipia ile juice alaf nikamwambia mshua tuamshe, maana mm nawajua nishawazoea. Tumefika mbele, namuuliza mshua kama anamfahamu yule jamaa, father ananiambia "Sura yake sio ngeni, sijui hata nilimuona wapi maana navuta kumbukumbu haziji* [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]. Nikacheka Sana hadi mshua akaniuliza kama namjua yule jamaa. Nilivyomuelezea alicheka Sana
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hii ishu nimekutana nayo mwezi January mwaka huu. Kwakweli hata mimi alinishtua sana.[emoji16][emoji16][emoji16] Eti "mbona siku hizi huonekani tena mtaani?" Umetususa wanao, huku napewa juice! Mwanzo nilikasirika sana. Sababu huwa sipendi kughasiwa nikiwa kwenye mishe zangu. Ila nilipokuja kugundua lengo lake, nikajikuta nacheka. Ila hawakunipata tena.[emoji3][emoji3]
Una uhakija hawapati hayo magonjwa ya Typhoid na Amoeba?Watu wanakunywa na hawapati hayo magojwa.
Ingekua wanaokula na kunywa mtaani wanaugua basi hospitali zingekua zimejaa watu.
Nimecheka sana sana 😂😂Hivi jamani Kuna mtu ameshawahi kupita maeneo ya Karume sokoni opposite na TFF akakutana na wale jamaa wanaouza Juice?
Yaani jamaa wale ni wajinga sana Kuna siku nimepita pale kwa mguu jamaa muuza juice akanichangamkia as if ananijua ananiongelesha Mambo vipi we jamaa? Habari za siku nyingi? Kitambo sana we jamaa upo?
Huku ananipimia juice ananiambia karibu sana mwanangu, nikiwa Sina hili na lile nikanywa Funda la kwanza, la pili mpaka la tatu huku navuta kumbukumbu huyu jamaa ni wapi Songea au Azania nilisoma nae? Nikawa sipati majibu. Jamaa akawa ameshawadaka wengine kwa mtindo huo huo. Nimekunywa imebaki robo glass namrudishia glass akaniambia buku tu. Ndio akili ikarudi nikajua kumbe hawa jamaa ndio ishu yao kufosi?
Nikamwambia nina jero akawa ananikomalia nikamwambia sikuuliza bei na wewe ukawa umeshanikaribisha . Chukua hii jero. Kuna mtu wa hapa Dar au aliyewahi kupita maeneo Yale ikamtokea hii ishu?? 😂😂😂😂
Sio juice ya matunda ni rangi/flavor wanachanganya na majiSiwezi kununua zile juice zao, unafikiri ni kweli wanaenda kununua matunda kila siku na kublend?
Naona wachafu wachafu tu
Nami nimeshangaa sana kuhusu hili mkuu. Humu JF kweli tupo watu wa aina mbalimbali.Sisi wabongo ni wakarimu hadi tunakuwaga ma zuzu sometimes.
Ivi unashindwaje hata kuuliza bro unanijua?
Unapimiwa tu nakuanza kunywa comeeen..