Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 76,107
- 160,001
Kabsa aseee mimi ni mhanga wa hayo unayoyasema aseeee uyo shangazi kajua kutunyoosha mwanamama anafanya ad uchawi hadharaniFamilia nyingi sana za ki Afrika zina mpasuko mkubwa. Ndugu wa mume wakitembelea familia hufanyiwa vitimbi na vibweka vya kila aina.
Wakija dada wa baba wa mwenye nyumba watasimangwa kwa maneno mbalimbali kwamba wamekuja kuvunja ndoa, wameleta uchawi na mbaya zaidi inafikia wanakataliwa hata kuwabeba watoto na kuandaa chakula kwa hofu ya kurogwa.
Mama zetu hebu badilikeni aiseee
Tatizo sio umasikini. Ujinga ni mama wa matatizo yoteTutafute pesa wakuu.Umaskini Ni chanzo Cha mengi.
Inasikitisha.Inahitaji utafiti....... Lkn kwenye familia nyingi utakuta ndugu upande wa Mke wanaishi bila shida... Wale wa upande wa mume huwa kasheshe kila siku mashitaka mpaka mume anaona isiwe tabu anawaondoa ndugu upande wake..
Kati ya matajiri vs maskini Ni Nani wanaongoza kwa ujinga?Tatizo sio umasikini. Ujinga ni mama wa matatizo yote
Ujinga ni mama wa matatizo yote. Umasikini ni tatizo linalotokana na ujingaKati ya matajiri vs maskini Ni Nani wanaongoza kwa ujinga?
Tusi lilikuwa mbaya kama sura ya shangazi yakoNakumbuka utotoni Masahngazi walisingiziwa vitu vingi sana
Mama anakuchapa, ukileta mgomo unasikia kagome kwa shangazi yako huko
Poleni sanakabsa aseee mimi ni mhanga wa hayo unayoyasema aseeee uyo shangazi kajua kutunyoosha mwanamama anafanya ad uchawi hadharani
Hahahaha mashangazi tunateseka sana, Mungu atatulipia.Nakumbuka utotoni Masahngazi walisingiziwa vitu vingi sana
Mama anakuchapa, ukileta mgomo unasikia kagome kwa shangazi yako huko sio hapa kwangu
AU UTAAMBIWA NENDA KALE KWA SHANGAZI YAKOTusi lilikuwa mbaya kama sura ya shangazi yako
SHANGAZI NI BABAHahahaha mashangazi tunateseka sana, Mungu atatulipia.
Haha hahahhSHANGAZI NI BABA
MJOMBA NI MAMA