Wamama wengi wa Afrika huwafundisha watoto kuwachukia ndugu wa upande wa baba. Mashangazi ni wachawi, bibi mzaa baba anaturoga ila MJOMBA NI MAMA

Wamama wengi wa Afrika huwafundisha watoto kuwachukia ndugu wa upande wa baba. Mashangazi ni wachawi, bibi mzaa baba anaturoga ila MJOMBA NI MAMA

Sio kwa wote jamani. Wengine shangazi zetu wanapendana na wifi zao(mama zetu)hatari mpaka kununuliana simu. Na kiukweli tunapatana sana na ndugu wa baba kuliko upande wa mama. Shangaz yangu popote uliko kunywa henessy ntalipa. Mama angu kunywa juice tu (umeokoka).
 
Ka

Shangazi yako anakunywa henessy, hebu nirushie namba yake ya simu
 
Mwanamke usipomdhibiti utajikuta ukoo wako umekuwa ni kwao.
Atakukosanisha na ndugu wote wa upande wenu.
Mtajikuta mnaishi na ndugu wa upande wake tu.

Ni ndugu yangu miaka yote ndugu wa mke ndio wako kwake.
Ila ndugu wa mume wakienda pale watasingiziwa mambo kibao.
Kuna kipindi palikuwa na mabinti wawili, mmoja upande wetu mwingine upande wa mke.
Binti yetu wakapata mimba wote wawili. Binti yetu alisemwa mpaka akaamua kuhama.
Ndugu wa mke hata hakubugudhiwa. Akajifungua hapo hapo.
 
Kwenye bible isaka na yakobo waliambiwa waende ujombani walipopatwa na changamoto kumbuka stori ya Labani, hawakuambiwa waende kwa baba zao wadogo
 
Familia zetu hizi za Kiafrika zina changamoto kubwa sana kwenye upande wa imani na mambo ya kiroho. Kuna mambo yanatafsirika tofauti na kuleta mtazamo hasi.
 
Back
Top Bottom