Yoda
JF-Expert Member
- Jul 22, 2018
- 48,475
- 70,102
Inawezekanaje kwa miaka zaidi ya 200 Marekani kubwa hivyo yenye wapiga kura takribani milioni 150 na maelfu ya wagombea uchaguzi unafanyika bila wagombea kukamatwa na polisi au mikutano ya siasa kuzuiwa kama ambavyo huwa inatokea katika nchi ndogo za Africa?
Japo kipindi hiki Trump anaweza kuzua balaa akishindwa na kuharibu historia hiyo. Awamu hii tujiandae kuwapatanisha Wamarekani.
Pia soma:
LIVE - Yanayojiri kuelekea Uchaguzi Mkuu Marekani 2024: Nani kuibuka kidedea?