ndammu
JF-Expert Member
- Apr 21, 2017
- 3,971
- 4,440
Ccm mtaacha lini kutumia policcm kuwakamata wapinzani na kuwaua?Marekani hakuna chama chenye mihemko na ghadhabu, wala hakuna chama chenye kutegemea huruma za wananchi kwa kuibua hisia za kuibiwa kura hali ya kua chama hicho huenda hakina sera, hakiaminiki wala kukubalika kwa wananchi, na matokeo yake huibua fujo na vurugu ambazo zitawalazimu polisi kuingilia kati kujaribu kudhibiti makaidi hayo ya vyama vyao siasa ili amani ya uchaguzi itawale miongoni mwa wananchi wanaoshiriki uchaguzi huo Africa.
Ni hivyo tu.
Kinyume na hapo Chaguzi hususan Tanzania zinaweza kua za Amani zaid kuliko maeneo mengine yote duniani.
Na kuna viongozi wa vyama mbalimbali hususan Tanzania hawajiandikisha, halafu eti kwenye uchaguzi wao ndio watakaleta fujo, kwahiyo ni lazima polisi kuwadhibiti vilivyo 🐒
Kwenye uandikishaji wa serikali za mitaa mmeshafanya mazingaombwe mengi yawasimamizi kukimbia na fomu, kuandikisha watoto chini ya miaka 18 na ujinga mwengine. Mbona hamjikubali mambo yawe huru ili tujue nguvu zenu za kukubalika?