Tz mpinzani akushinda uchaguzi eti huo ndiyo uchaguzi huru,wa wazi na wa haki 🤣
yaan chama cha siasa kiwekeze na kushawishi wananchi wakiunge mkono na kukichagua kwenye sanduku la kura,
halafu eti from no where mtu na chama chake aje kusema ati kaibiwa kura, sijui uchaguzi haukua huru and other useless complains halafu nilieshinda nibabaike nae? uliskia wapi..
kama kuna mambo ambayo CCM iko serious nayo, haioni haya, haioni aibu na wala haimuonei mtu au chama kingine huruma, ni maendeleo kwa wananchi na ushindi wa kishindo kwenye uchaguzi inazoshiriki 🐒
Tatizo kubwa Tanzania 🇹🇿 tumeruhusu ⌛ ⏳ akili ndogo itawale akili kubwa.
Watu smart wote wapo kando na SIASA mfano humu ndani JF Kuna wadau very conshaz Ila wapo kando na SIASA sababu ya mambo mbali mbali.
Nakubaliana na wadau mbali mbali kua Kuna jitihada za ki maendeleo zimefanyika Tangu uhuru mpaka Sasa.
Uchafuzi wa 2020 tulishuhudia/ tumeshuhudia un equal & unfair election ever refer nape nnauye, Dc. Longido Marco N'gumbi.
Alinukuliwa akisema
anatokea kiongozi mwandamizi wa Serikali, mkuu wa Wilaya, mwenyekiti wa kamati ya ulinzi na usalama wa Wilaya, na mjumbe wa kamati ya siasa ya CCM ya wilaya, anatoka hadharani na kutamka kwa uwazi kuwa ushindi wa CCM wakati wa uchaguzi huwa hautokani na kura za wananchi bali kwa uharamia ambao Serikali huwa inafanya dhidi ya wapinzani huko maporini.
Sawa mnashinda kwa kishindo kwa faida ya NANI?!
Huduma mbovu za elimu,afya ,mabarabara, madawati, madawa, rushwa, Hali ngumu ya Maisha, umaskini ulio topea .
Miaka ya 1961 tulikua karibu uchumi sawa na china...why great leap??! Why tatizo ni serikali ya CCM ku hodhi Tanzania Kama Mali yake binafsi na ikitokea mtu mwenye kwenda kinyume na maCCM na mifumo yao ovu unazawadiwa JENEZA.
Ni gharama kubwa Sana kuwa mpinzani kwenye siasa za SHITHOLE COUNTRIES wapo walio SEMA wazi wazi kunyimwa ushirikiano na wakurugenzi wa halmashauli,wakuu wa wilaya,mkoa N.k falsafa na tafsiri ya vyama vya upinzani haijawai kueleweka kwa miongo mingi Sana kwa baadhi ya watu hapa nyumbani Tz.
Unakuta mtu mzima anasifia mpaka AUTRO 😂