Marekani hakuna chama chenye mihemko na ghadhabu, wala hakuna chama chenye kutegemea huruma za wananchi kwa kuibua hisia za kuibiwa kura hali ya kua chama hicho huenda hakina sera, hakiaminiki wala kukubalika kwa wananchi, na matokeo yake huibua fujo na vurugu ambazo zitawalazimu polisi kuingilia kati kujaribu kudhibiti makaidi hayo ya vyama vyao siasa ili amani ya uchaguzi itawale miongoni mwa wananchi wanaoshiriki uchaguzi huo Africa.Inawezekanaje kwa miaka zaidi ya 200 Marekani kubwa hivyo yenye wapiga kura takribani milioni 150 na maelfu ya wagombea uchaguzi unafanyika bila wagombea kukamatwa na polisi au mikutano ya siasa kuzuiwa kama ambavyo huwa inatokea katika nchi ndogo za Africa?
Japo kipindi hiki Trump anaweza kuzua balaa akishindwa na kuharibu historia hiyo.
Hiyo ni demokrasia iliyokomaa ...Inawezekanaje kwa miaka zaidi ya 200 Marekani kubwa hivyo yenye wapiga kura takribani milioni 150 na maelfu ya wagombea uchaguzi unafanyika bila wagombea kukamatwa na polisi au mikutano ya siasa kuzuiwa kama ambavyo huwa inatokea katika nchi ndogo za Africa?
Japo kipindi hiki Trump anaweza kuzua balaa akishindwa na kuharibu historia hiyo.
Zanzibar Wapiga Kura Laki 5, uchaguzi siku mbili, vurugu mwezi mzima.Inawezekanaje kwa miaka zaidi ya 200 Marekani kubwa hivyo yenye wapiga kura takribani milioni 150 na maelfu ya wagombea uchaguzi unafanyika bila wagombea kukamatwa na polisi au mikutano ya siasa kuzuiwa kama ambavyo huwa inatokea katika nchi ndogo za Africa?
Japo kipindi hiki Trump anaweza kuzua balaa akishindwa na kuharibu historia hiyo.
Shangaa hapo sasa, sisi ka uchaguzi tu haka ka serikali za mitaa yetu kanatutoa jasho kama si kamasi, mara wapokea form wamekimbia ofisi, mara tumeandikisha wasio wakazi wa mitaa, mara tumeaddika watoto under 18, mara yameingizwa majina hewa etc
Yaani kuufikia ustaarabu wa wamarekani tutahitaji miaka 1000 mingine toka leo. Mwaka 3024 yawezekana kwa watakaokuwepo.

Mpumbavu anapojimwambafaiMarekani hakuna chama chenye mihemko na ghadhabu, wala hakuna chama chenye kutegemea huruma za wananchi kwa kuibua hisia za kuibiwa kura hali ya kua chama hicho huenda hakina sera, hakiaminiki wala kukubalika kwa wananchi, na matokeo yake huibua fujo na vurugu ambazo zitawalazimu polisi kuingilia kati kujaribu kudhibiti makaidi hayo ya vyama vyao siasa ili amani ya uchaguzi itawale miongoni mwa wananchi wanaoshiriki uchaguzi huo Africa.
Ni hivyo tu.
Kinyume na hapo Chaguzi hususan Tanzania zinaweza kua za Amani zaid kuliko maeneo mengine yote duniani.
Na kuna viongozi wa vyama mbalimbali hususan Tanzania hawajiandikisha, halafu eti kwenye uchaguzi wao ndio watakaleta fujo, kwahiyo ni lazima polisi kuwadhibiti vilivyo π
US is not a shithole country.Inawezekanaje kwa miaka zaidi ya 200 Marekani kubwa hivyo yenye wapiga kura takribani milioni 150 na maelfu ya wagombea uchaguzi unafanyika bila wagombea kukamatwa na polisi au mikutano ya siasa kuzuiwa kama ambavyo huwa inatokea katika nchi ndogo za Africa?
Japo kipindi hiki Trump anaweza kuzua balaa akishindwa na kuharibu historia hiyo.
Pia soma:
LIVE - Yanayojiri kuelekea Uchaguzi Mkuu Marekani 2024: Nani kuibuka kidedea?
Shangaa hapo sasa, sisi ka uchaguzi tu haka ka serikali za mitaa yetu kanatutoa jasho kama si kamasi, mara wapokea form wamekimbia ofisi, mara tumeandikisha wasio wakazi wa mitaa, mara tumeaddika watoto under 18, mara yameingizwa majina hewa etc
Yaani kuufikia ustaarabu wa wamarekani tutahitaji miaka 1000 mingine toka leo. Mwaka 3024 yawezekana kwa watakaokuwepo.
Uchaguzi Africa hadi vifaru vya kijeshi vinaingia mtaani!π€£
Afrika is the symbol of failure in the world
Zanzibar Wapiga Kura Laki 5, uchaguzi siku mbili, vurugu mwezi mzima.
π π π
miaka yote hio ya nini... ustaarabu unaweza kuanza hata kesho endapo CCM itajirekebishaShangaa hapo sasa, sisi ka uchaguzi tu haka ka serikali za mitaa yetu kanatutoa jasho kama si kamasi, mara wapokea form wamekimbia ofisi, mara tumeandikisha wasio wakazi wa mitaa, mara tumeaddika watoto under 18, mara yameingizwa majina hewa etc
Yaani kuufikia ustaarabu wa wamarekani tutahitaji miaka 1000 mingine toka leo. Mwaka 3024 yawezekana kwa watakaokuwepo.
Mkuu tanaweza kujitawala, mbona Botswana mambo yameenda vizuri tu?"Black people are not complete human beings because they don't have a good brain to govern the society as White people. They are still under the process of becoming the complete human beings."
Pieter W. Botha, a former President of South Africa during the Apartheid era.
Nchi zote hizo ulizotaja Siasa zao za nchi zimeegemea katika mrengo wa Siasa za Itikadi ya Ubepari (imperialism), hizo ni Sera, itikadi na siasa za nchi za Magharibi. Kwenye hizo nchi hakuna siasa zenye Itikadi za Ukomunisti/Ujamaa.Mkuu tanaweza kujitawala, mbona Botswana mambo yameenda vizuri tu?
South Africa na Zambia mambo huwa yanaenda vyema tu.
huku Tanzania kwa mfano. poisi wenye vyeo vikubwa, hupigania chama kilicho madarakani mfano CCm kulinda ufisadi wao, ufisadi wa wakubwa zao (Viongoxi wa CCM) na future za watoto wao na viongozi waoInawezekanaje kwa miaka zaidi ya 200 Marekani kubwa hivyo yenye wapiga kura takribani milioni 150 na maelfu ya wagombea uchaguzi unafanyika bila wagombea kukamatwa na polisi au mikutano ya siasa kuzuiwa kama ambavyo huwa inatokea katika nchi ndogo za Africa?
Japo kipindi hiki Trump anaweza kuzua balaa akishindwa na kuharibu historia hiyo.
Pia soma:
LIVE - Yanayojiri kuelekea Uchaguzi Mkuu Marekani 2024: Nani kuibuka kidedea?