Wamarekani wanawezaje kufanya uchaguzi bila purukushani za polisi?

Ccm mtaacha lini kutumia policcm kuwakamata wapinzani na kuwaua?

Kwenye uandikishaji wa serikali za mitaa mmeshafanya mazingaombwe mengi yawasimamizi kukimbia na fomu, kuandikisha watoto chini ya miaka 18 na ujinga mwengine. Mbona hamjikubali mambo yawe huru ili tujue nguvu zenu za kukubalika?
 
mpaka pale upinzani hususan Chadema watakapoacha kutoana kafara na kuchukuana misukule kwaajili tu ya uongozi wa chama wakati wa uchaguzi wa ndani, huku wakisingizia wengine..

viongozi wa upinzani mathalani Chadema wamefanya kazi kubwa sana kuhamasisha watu wasiende kujiandikisha kwaajili ya uchaguzi wa serikali za mitaa.

halafu tena hao hao wanalalamika zoezi kua na dosari na kasoro mbalimbali. Sasa unajiuliza hawa Chadema wanajua wanachotaka au hawaelewi?

Infact,
vyovyote itakavyokua, uchaguzi muhimu sana wa kihistiria wa serikali za mitaa baadae Nov 27, utafanyika kwa uhuru, uwaazi na kwa haki bila mbambamba ya chama au kikundi Fulani cha watu wa vurugu.

Ni wazi CCM itashinda kwa kishindo kikuu ๐Ÿ’
 
Tofauti kubwa USA na nchi zetu za Africa ni viongozi wanaogombania nafasi za juu tayari ni matajiri sisi huku ni mtaji wa kutokea lakini kubwa kuliko yote system waliyonayo kuiba kidogo changamoto maana mshindi hapatikani kwa wingi wa kura ila ni majimbo ingekuwa ni wingi basi wangekuwa na shida sana. Uchaguzi wao ni kama chess ukijuwa kucheza vizuri basi unachukuwa nchi, uhitaji ubabe ila akili.
 
Hao wamekamilika kuwa binadamu kamili africa bado tunajitafuta.
Bado sana.

Na hapo Trump amekoswa koswa hadharani kuuliwa na risasi mara mbili na hakuna kelele. Watuhumiwa wamekamatwa na waliouliwa wameuliwa na sababu zipo wazi.
 

Kwahiyo mnatumia vyombo vya dola kuuwa wapinzani?
 
Boss naomba kufahamu tofauti ya uongozi na utawala, ukipata muda weka hapa tofauti kati ya hivyo viwili
 
Marekani sio wapumbavu kama ulivyo ccm na wanachama wake
 
Ccm imejaa mapumbavu yanayoteka watu na kuogopa uchaguzi ndio halafu utayasikia tumeshinda Kwa kishindo huko machawa yakiona chadema yanatetemeka yakikosa msaada wa polis.
 
CCM inacho kifanya Tanzania ni Kama yule JOGOO mwenye utawala wake kwenye BANDA na amejimilikisha kila mtetea so ni marufuku kwa JOGOO yeyote bandani kumpanda mtetea yeyote Wala KUWIKA.

The manipulation of polls is the real thing & is the only thing that helps CCM to remain in power they threat everything even THEIR OWN SHADOW.

Nukuu ya askofu ruwai'chi mmeandikisha mpaka watoto wa primary uchaguzi wa serikali za mitaa mnaogopaga Nini.

NB.
KUra ya mjinga na mwerevu zoteee Zina uzito sawa.. kwenye secret ballot ie kura ya mwerevu vs mjinga zoteee Zina uzito sawa.
 
Hahahaaa yule jamaa wa kanda ya ziwa hakuwa tajiri?
 
Trump alishazua balaa baada ya kushindwa 2020,na atalizua safari hii akishindwa, uchaguzi ni kwa ajili ya watu walioelimika,jamii ngumbaru kama tz huwezi iachia ichague kiongozi,watu wanaotapeliwa na kiboko ya wachawi,babu wa loliondo,mafuta ya mwamposa na helkopta ya mbowe!
 
Bongo unakuta mitutu,mabomu ya machozi na magari ya maji ya kuwasha

Uchaguzi wa bongo ni kama vita
 
Marekani haina polisi labda waombe tz tuwaazime๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ
 
Bila kusahau na wengine kupotezwa, kauwawa
So sad
 
Tz mpinzani akushinda uchaguzi eti huo ndiyo uchaguzi huru,wa wazi na wa haki ๐Ÿคฃ

yaan chama cha siasa kiwekeze na kushawishi wananchi wakiunge mkono na kukichagua kwenye sanduku la kura,

halafu eti from no where mtu na chama chake aje kusema ati kaibiwa kura, sijui uchaguzi haukua huru and other useless complains halafu nilieshinda nibabaike nae? uliskia wapi..

kama kuna mambo ambayo CCM iko serious nayo, haioni haya, haioni aibu na wala haimuonei mtu au chama kingine huruma, ni maendeleo kwa wananchi na ushindi wa kishindo kwenye uchaguzi inazoshiriki ๐Ÿ’
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ