Wamarekani weupe wameamua kutumia utaalamu wa kisayansi kumaliza weusi

sorry kwa ku quote uzi huu,Mkuu Eiyer kama Mtu amekwenda kupima na ikagundulika ana UKIMWI afanye nini?? kuna mtu alikwenda hospital kupima Ukimwi na TB lakini aligundulika na UKIMWI tu alikuwa hana TB na bado hakutumia ARV lakini hali yake ilizidi kudhorota mpaka kupelekea mauti Je kama kilichomua sio Ukimwi ni nini hasa na kumbuka aliambiwa hana TB
 
Nakuunga mkono!
Miaka mingi nimekuwa nikitumia mmea wa atamisia kama tiba ya magonjwa mbalimbali .... ni majuzi tu ndo imekuja kutangazwa ALU kwamba ndo kiboko ya maralia.
Afrika ni bara lililobarikiwa kwa mambo mengi lakini vichwa vyetu hatujishugulishi kutumia vitu tulivyojaliwa. Mtegemea cha nduguye ...
 

Jane Elliott says that all white people are racist

 
Unapokwenda hospitali haupimwi UKIMWI bali wanapima antibody ambazo mwili unakuwa unatoa ili kupambana na maradhi.Cha ajabu badala wakuone huumwi wanasema unaumwa,hili ni ajabu la kwanza...

Huyo aliyepimwa walipima nini? kwanini alikwenda hospital? Alikuwa anaumwa nini?

Kimsingi kilichomuua siyo kingine bali kuna maradhi specific alikuwa anaumwa,ARVs hazitibu ugonjwa wowote ndani ya mwili wa binadamu,yes hazitibu chochote na hizo ndiyo zilisababisha kifo cha huyo ndugu kwa kasi kubwa....

Sema alikuwa anaumwa nini achana na mambo ua UKIMWI kwasababu hilo ni tatizo linaloondolewa na chakula bora tu....

Sema historia ya maisha yake...

[HASHTAG]#PumzikaKwaAmaniDena[/HASHTAG]
 
Tulisha ingia kwenye mitego yao. Kutoka ni kugumu sana.
 
Hizo conspiracy theories tu
Hiyo siamini mambo hayo cha msingi mimi ambacho huwa nafanya ni kutumia vitu asili basi, hayo mengine watajua wao maana wao kwa kula misoso ya kwenye makopo ni balaa maana kama ni ukimwi uzuri ulisambaa dunia nzima.
 
Afrika kuna utajiri mkubwa na wamiliki hawauthamini what do you expect the whites will do?Sit back and watch?Hell no!Sisi kama kizazi kwa ujumla wetu tume prove failure.
 
Mikakati ya ile secret society ni kupunguza idadi ya watu mpaka ibaki 500,000,000

Hebu kwanza tuupe ubongo nafasi ya kufikiria je ni kweli watu wanapungua au ndo wanaongezeka hebu tulinganishe idadi yetu miaka ya 1980 na sasa je imepungua au imeongezeka wanaipunguzaje sasa wakati mi naona ongezeko la watu ndio linakuwa kubwa?
 
Unapopanga jambo likashindikana ujue mipango yako ilikuwa mibaya.
Mungu ana mpango watu waongezeke waijaze nchi na kuwa kama mchanga wa bahari
Shetani ana mpango wa kupunguza watu wabaki namba anayoijua ...
Kwa hili la watu kuongezeka ni dhahili kwamba Mungu ni mkubwa.
 
Pongezi ...mkuu. ..
 
hawa watu weupe hawa sio watu wazuri kabisa, tatizo waafrika tunawaona wao kama watu flani wenye roho nzurii kumbe hamna kitu
 
Wataweza kuua watu weusi ila hawataweza kuangamiza kizazi cha watu weusi. Walidhani ukimwi na Ebola vingetumaliza lakn wapi.
Ni kweli.. Walitengeneza virus vya polio wakaona polio inawadhuru na wao.. Wakatengeneza vaccine very fast..

Lakini ukiangalia takwimu za ukimwi Afrika ndio wahanga wakubwa.
 
Ni kweli mkuu.. Wenzetu wanajua sana kutuchekea usoni.. Kumbe moyoni wanamipango negative tusio ijua.
 
Watu weupe wasenge sana ila kwa waafrika hawatoweza maana hata kuzaana hatujambo sana tu labda walete gonjwa ambalo litatumaliza mara moja hapo sawa but si vinginevyo.
 
Naweza kukuamini kwa asilimia zote kabisa wazungu sio watu wa mchezo mchezo
 
Wewe mzungu wewe si bure. Sasa unapinga alichosema mzungu mwenzako? Nitashangaa sana kama wewe ni musfrika
 
Wewe mzungu wewe si bure. Sasa unapinga alichosema mzungu mwenzako? Nitashangaa sana kama wewe ni musfrika
Hata mimi ningejishangaa sana kama ningekuwa MUSFRIKA.
 
Hata huko unakokuzungumza wewe ndiyo kutengeneza kwenyewe huko.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…