Ni kweli laana kwako na ukoo wako Inajieleza ndio maana umeweka avatar ya mzungu, kwa ujinga wako ukiamini mzungu ni bora kuliko mtu Mweusi
But who is a Caucasian and who is not? What is the litmus test?Caucasian?
Basi mweusi ni bora kuliko mzungu wakati mwingine ni vizuri kumdanganya chizi kuwa umependeza na hizo nguo kumbe lipo uchi.
[emoji23][emoji23]pita hivi
Tofauti unaipimaje?I don't know!
Wewe unaelewaje kuhusu utofauti kati ya watu weusi na weupe?
Unadhani hawana utofauti?
Hivi Crimes zinazofanywa Libya, Iraq, Afghanistan, Syria, Palestina n.k zote zinafanywa na Blacks?
Usipotoshwe na propaganda za wazungu kwamba Blacks ndio wanaongoza kwa uharifu na wakati lengo Lao ni kuaminisha dunia kwamba mtu mweusi hafai na hastahili kuishi maeneo wanayoishi wazungu.
Pia kuna crime gani kubwa waliyofanya Blacks kushinda crime za wazungu,
Mfano mzungu kaanzisha magonjwa yafuatayo HIV, Ebola n.k je huyo ndio mtu aliyestaarabika
Kitu kingine ni kwamba kwanini hizo crime zinatokea sana maeneo wanayoishi wazungu kama America, Europe, South Africa n.k ila hizo crime hazipo maeneo wanayoishi Blacks peke yao kama Tanzania, Malawi, Zambia, Cameroon, n.k
Hivyo kwa kifupi Hoja yako haina ukweli bali ni propaganda za Wazungu ili kuaminisha dunia kwamba Blacks hawafai kuishi karibu na wazungu
Mkuu wewe imeshindikana,huwezi elimishwa.ngoja tukuweke pembeni tunao ona tuendelee na mjadala.Basi mweusi ni bora kuliko mzungu wakati mwingine ni vizuri kumdanganya chizi kuwa umependeza na hizo nguo kumbe lipo uchi.
Mambo vipi mkuu? Unafuatilia uchukuaji form kwa ajili ya uchaguzi wa serikali za mitaa?Sio kweli, labda wewe na ukoo wako ndio mna ubongo mweusi na pia wewe na ukoo wako ndio ishara ya giza
Ni jambo la kutengenezwa na watu kwa habari za kijamii.Unadhani 'race' ni jambo la kufikirika tu?
Akili ni nini?unakuwaga una akili sometimes
Sikuwahi kubaguliww kwanza nilikuwa comfortable kuliko hata nyumbani naendesha gari hakuna ujinga wa kusimamishwa na traffic wala nini. Watoto wangu walisoma very comfortable shuleni.vipi ubaguzi huko??
Follow fashion monkey!nini ndo kitu gani??
Straight to ignore list.monkey ni yule kahaba aliyekuzaa
Christianu a muslim??