Billie
JF-Expert Member
- Aug 13, 2011
- 13,588
- 22,752
Basi mweusi ni bora kuliko mzungu wakati mwingine ni vizuri kumdanganya chizi kuwa umependeza na hizo nguo kumbe lipo uchi.
Ni kweli laana kwako na ukoo wako Inajieleza ndio maana umeweka avatar ya mzungu, kwa ujinga wako ukiamini mzungu ni bora kuliko mtu Mweusi