Wamarekani Weusi ndiyo sababu homicide na crime kuwa juu Chicago, Baltimore, Atlanta, Washington DC n.k

Wamarekani Weusi ndiyo sababu homicide na crime kuwa juu Chicago, Baltimore, Atlanta, Washington DC n.k

Hauna hoja ya msingi zaidi ya u inferiority complex.
Pole sana kwa laana hiyo.
Ila unatakiwa ujue kwamba hakuna Binadam bora kuliko mwingine.
Nina wasi wasi pia ukawa shoga
Basi mweusi ni bora kuliko mzungu wakati mwingine ni vizuri kumdanganya chizi kuwa umependeza na hizo nguo kumbe lipo uchi.
 
Lakini tuweni makini na hizi Habari, maana black anapofanya Jambo dogo sana linakuzwa kwenye mass media ila white ni kawaida sana, lakini pia kuna hawa wahuni wa kipoland naona hao black American sio kitu mbele ya hao jamaa
 
Mkuu ungeanza na Detroit ndio the most dangerous city kuish duniani, yan ndio ipo kinara, crime rate ni kubwa sana, sasa sijui population yake ina weusi wengi au vipi.....
 
Watu weusi ni wajinga sana kuliko race nyingine yoyote katika dunia hii.

Wajinga wajinga tu.
 
I don't know!

Wewe unaelewaje kuhusu utofauti kati ya watu weusi na weupe?

Unadhani hawana utofauti?
Tofauti unaipimaje?

Kwa kuangalia ngozi?

Kuna Waarabu wa Morocco ni weupe kuliko baadhi ya mnaowaita wazungu wa Albania na Macedonia, Ugiriki na Italy.

Sasa hao waarabu ni wazungu?
 
Kuna nchi nilioshi
Hivi Crimes zinazofanywa Libya, Iraq, Afghanistan, Syria, Palestina n.k zote zinafanywa na Blacks?
Usipotoshwe na propaganda za wazungu kwamba Blacks ndio wanaongoza kwa uharifu na wakati lengo Lao ni kuaminisha dunia kwamba mtu mweusi hafai na hastahili kuishi maeneo wanayoishi wazungu.

Pia kuna crime gani kubwa waliyofanya Blacks kushinda crime za wazungu,
Mfano mzungu kaanzisha magonjwa yafuatayo HIV, Ebola n.k je huyo ndio mtu aliyestaarabika

Kitu kingine ni kwamba kwanini hizo crime zinatokea sana maeneo wanayoishi wazungu kama America, Europe, South Africa n.k ila hizo crime hazipo maeneo wanayoishi Blacks peke yao kama Tanzania, Malawi, Zambia, Cameroon, n.k

Hivyo kwa kifupi Hoja yako haina ukweli bali ni propaganda za Wazungu ili kuaminisha dunia kwamba Blacks hawafai kuishi karibu na wazungu

Kuna nchi niliishi North Africa una park gari lako nje na hata nyumba usipofunga mlango hakuna atakayeingia sikuwahi kusikia ujambazi wa kutumia silaha. sasa njoo kwetu uache hata laptop kwa gari sijui kama utaikuta. Sikatai kila race iko na watu wabaya ila kuna race zimezidi kwa ukora l. Latin Americans au mexican hao sio pure whites huwa siwahesabii kama ni wazungu nawaonaga ni species zilizochukua tabia mbaya za mzungu na mwafrika ndio wakatoka wao
 
Basi mweusi ni bora kuliko mzungu wakati mwingine ni vizuri kumdanganya chizi kuwa umependeza na hizo nguo kumbe lipo uchi.
Mkuu wewe imeshindikana,huwezi elimishwa.ngoja tukuweke pembeni tunao ona tuendelee na mjadala.
 
Unadhani 'race' ni jambo la kufikirika tu?
Ni jambo la kutengenezwa na watu kwa habari za kijamii.

Mfano, mtu aliyechanganya wazazi, Marekani anaitwa mweusi, South Africa anaitwa colored, Brazil watu wengi waliochangia wazazi wanaitwa weupe.

Siku ya kwanza nilivyomuona Merghan Markle sikujua kama ni mixed race.

Wasomi wameacha kutumia habari za Caucasians, Mongoloid, Negroid ku classify watu tofauti. Ukiongelea habari hizi miongoni mwa wasomi unaonekana uko nyuma, uko katikati ya karne iliyopita bado.

Kitabu cha kusoma ni cha Carleton Coon "The Origins of Race".

Kwenye internet Google "From Types to Populations: A Century of Race,
Physical Anthropology, and the American
Anthropological Association" utapata PDF linaelezea hizi habari kisomi zaidi kuliko mimi.
 
vipi ubaguzi huko??
Sikuwahi kubaguliww kwanza nilikuwa comfortable kuliko hata nyumbani naendesha gari hakuna ujinga wa kusimamishwa na traffic wala nini. Watoto wangu walisoma very comfortable shuleni.
 
Kuna tatizo katika hizo serikali husika dhidi ya watu weusi. Ingawa halitoonekana dhIahiri ila ndio ukweli, hivi unatambua kua weusi wanalipa interest rate kubwa katika mikopo ya chuo kuliko weupe na ilhali wamesoma course moja, pia unafahamu land ownership katika nchi ulizotaja kwa mweusi si kitu chepesi ni ufanye kazi mara mbili ili kupata matokeo sawa na mtu mweupe.
Kuna vigingi vingi tu wenzetu huko mbele wanapitia na mabaya yao yanakua mwambafied kushinda ya wenzao.
 
Back
Top Bottom